MEGATRONE
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 1,140
- 2,141
Kipato cha mziki wa kibongo unasikitisha sana! Imagine msanii kama marioo kwa hit songs zote hizi tena back to back lakini kipato bado ni tatizo! Ingekuwa ni mbele kwa hizo hit songs nadhani jamaa angeingiza kipato kikubwa sana kwa hii miaka kama miwili iliyopita maan ndo msanii aliyetoa ngoma kali kibongo bongo!Kumbe mtu akipiga picha na gari analimiliki
😂
Hii picha lunya alipiga akiwa SA, Marioo hata lile prado hana alinyanganywa.
Unafanya mchezo na G Wagon
Mashabiki tunaongoza kwa kuwapa mali wasanii wetu wasizokuwa nazo kisa tu tumeona wamepiga pcha nazo.