Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Utapeli kivipi ebu fafanuaUtapeli
Tesla watasubiri Sana. MWANZO wa Petrodollar kushukaKampuni za magari kutoka China zinafanya vizuri kwenye soko la magari SA na imepelekea kampuni ya Cherry kununua kiwanda cha Nissan kilichopo Pretoria kuanzia mwakani kitakua kinazalisha magari ya kutoka China na si Nissan tena.View attachment 3547824View attachment 3547825
Pamoja na kuwekewa kodi kubwa kwa gari zinazotoka China ila wananchi wamezielewa sana imepelekea kuletwa na gari nyingi za kuchaji zinazotumia umeme kwa umbali mrefu kama hizi..View attachment 3547826View attachment 3547829View attachment 3547830View attachment 3547832View attachment 3547832View attachment 3547833View attachment 3547834View attachment 3547831
Bei ya hizi gari mpya zinaanzia rand 400,000 mpaka rand 500,000 za 2025 model.
Uchumi wa souz unashuka sana kupitia bidhaa za kichina haya magari ukiliweka barabarani mwezi mmoja tu utashangaa yani ni box la plastic umbi kubwa bei rahis hayadumu kabisa viwanda vya polo na nissan vinapata hasara lakini ndio magari mazuri na yana dumu muda mrefu uchuni wa souz unakamatwa na mchina sasa hv na ana haribu nchi kila sehemu.Kampuni za magari kutoka China zinafanya vizuri kwenye soko la magari SA na imepelekea kampuni ya Cherry kununua kiwanda cha Nissan kilichopo Pretoria kuanzia mwakani kitakua kinazalisha magari ya kutoka China na si Nissan tena.View attachment 3547824View attachment 3547825
Pamoja na kuwekewa kodi kubwa kwa gari zinazotoka China ila wananchi wamezielewa sana imepelekea kuletwa na gari nyingi za kuchaji zinazotumia umeme kwa umbali mrefu kama hizi..View attachment 3547826View attachment 3547829View attachment 3547830View attachment 3547832View attachment 3547832View attachment 3547833View attachment 3547834View attachment 3547831
Bei ya hizi gari mpya zinaanzia rand 400,000 mpaka rand 500,000 za 2025 model.
Tesla hajatengenezea waafirca ni za wazungu tuuTesla watasubiri Sana. MWANZO wa Petrodollar kushuka
Sio kweli mkuu nina gari pick up mwaka wa tano huu nalitumia na nazunguka nalo kila napokua huku sema vitu vingi vinavyokuja Tanzania ni copy...hizo gari za polisi GMW utaziona maana zipo hapo na pia SA wao kubadilika wanaangalia kitu kama kipo sawa mtu anatumia tu..Uchumi wa souz unashuka sana kupitia bidhaa za kichina haya magari ukiliweka barabarani mwezi mmoja tu utashangaa yani ni box la plastic umbi kubwa bei rahis hayadumu kabisa viwanda vya polo na nissan vinapata hasara lakini ndio magari mazuri na yana dumu muda mrefu uchuni wa souz unakamatwa na mchina sasa hv na ana haribu nchi kila sehemu.
Dah Wachina wapo kasi sanaKampuni za magari kutoka China zinafanya vizuri kwenye soko la magari SA na imepelekea kampuni ya Cherry kununua kiwanda cha Nissan kilichopo Pretoria kuanzia mwakani kitakua kinazalisha magari ya kutoka China na si Nissan tena.View attachment 3547824View attachment 3547825
Pamoja na kuwekewa kodi kubwa kwa gari zinazotoka China ila wananchi wamezielewa sana imepelekea kuletwa na gari nyingi za kuchaji zinazotumia umeme kwa umbali mrefu kama hizi..View attachment 3547826View attachment 3547829View attachment 3547830View attachment 3547832View attachment 3547832View attachment 3547833View attachment 3547834View attachment 3547831
Bei ya hizi gari mpya zinaanzia rand 400,000 mpaka rand 500,000 za 2025 model.
Umewahi kumiliki hizo gari za china?Uchumi wa souz unashuka sana kupitia bidhaa za kichina haya magari ukiliweka barabarani mwezi mmoja tu utashangaa yani ni box la plastic umbi kubwa bei rahis hayadumu kabisa viwanda vya polo na nissan vinapata hasara lakini ndio magari mazuri na yana dumu muda mrefu uchuni wa souz unakamatwa na mchina sasa hv na ana haribu nchi kila sehemu.
😁😊😆☕️🥂😀😀Utapeli
Wachina wana akili sana viwanda vyao wanaweka huku harafu hizo Nchi zingine watanunua kutokea hapa kama wanavyofanya SA miaka ya baadae watashika soko la Afrika zipo Haval zinasimbua sana hapa wana version tofauti sana na wanatoa kila kukicha..Dah Wachina wapo kasi sana
Hawa jamaa nimewavulia kofia an ni wazee wa fursa na kurahisisha mamboWachina wana akili sana viwanda vyao wanaweka huku harafu hizo Nchi zingine watanunua kutokea hapa kama wanavyofanya SA miaka ya baadae watashika soko la Afrika zipo Haval zinasimbua sana hapa wana version tofauti sana na wanatoa kila kukicha..
Yenyewe ina injini ila haina crankshaft. Utaipenda kwenye lami na siyo off-road.Kampuni ya BYD wameshafungua show room ya magari Yao pale vingunguti kuna hizi pick up zao zinaitwa sharks 6 nimekutana nayo juzi hakika machina ni balaa kubwa Sana
Hii pick up ina muonekano wa kisasa kushinda Hilux View attachment 3548541
Uchumi wa souz unashuka sana kupitia bidhaa za kichina haya magari ukiliweka barabarani mwezi mmoja tu utashangaa yani ni box la plastic umbi kubwa bei rahis hayadumu kabisa viwanda vya polo na nissan vinapata hasara lakini ndio magari mazuri na yana dumu muda mrefu uchuni wa souz unakamatwa na mchina sasa hv na ana haribu nchi kila sehemu.
Suala la kuwa magari ya mchina hayadumu kama ya nchi za Magharibi siyo suala la mjadala bali ni ukweli. Ila kuna angalizo: kosa ni kuwa watu wanayaponda mpaka inaleta picha ni kama ''magari ya mabox'', yasiyofaa kwa lolote. Jambo jingine: watu husema uzoefu ni mwalimu mzuri. Huenda baada ya muda wachina nao wataweza kuboresha magari yao yawe imara. Na mwisho: bidhaa za kichina kwangu mimi kosa lao ni moja... wanaiga mno design za magharibi. Unakuta eg gari wanatoa ukiliangalia utadhani ni Range Rover ki-muonekano, lakini ukichunguza unakuta ni la kichina. Hii inafanya hata mtu anayemiliki anaonekane kama limbukeni-mshamba aliyebambikiziwa.. kama yale ma-iphone ya kichina.Kutokana na facts zako inamaanisha huko uChina kutakuwa na yards kubwa za magari mabovu ya Kichina sio?
Sababu zaidi ya 80% ya magari wanayotumia wachina ni brands zao wenyewe...