Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Hali ni mbaya sana kwetu Askari Polisi tunaokaa kwenye nyumba za kesho hapa maeneo ya kituoni. OCD karuhusu magari ya maji taka yamwage kinyesi kwenye makazi ya Askari.
Simu yangu ina tatizo la camera, lakini nathibitisha kesho nitapata picha nzuri zaidi.
Dereva wa Gari la majitaka anatamba Boss wako katuruhusu, jiulize inakuwaje raia nije kumwaga mavi kwenye makazi ya Polisi?