KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Wanamwagiwa nnya kwenye makazi yao, ni dili la boss waoTatizo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamwagiwa nnya kwenye makazi yao, ni dili la boss waoTatizo nini?
kwa nyie mngemwagiwa hata kinyesi kabisa.View attachment 3091843
Hali ni mbaya sana kwetu Askari Polisi tunaokaa kwenye nyumba za kesho hapa maeneo ya kituoni. OCD karuhusu magari ya maji taka yamwage kinyesi kwenye makazi ya Askari.
Simu yangu ina tatizo la camera, lakini nathibitisha kesho nitapata picha nzuri zaidi.
Dereva wa Gari la majitaka anatamba Boss wako katuruhusu, jiulize inakuwaje raia nije kumwaga mavi kwenye makazi ya Polisi?
Haha haha hahah hahakounyer kounye
Kwa iyo wewe ni pot mkuuView attachment 3091843
Hali ni mbaya sana kwetu Askari Polisi tunaokaa kwenye nyumba za kesho hapa maeneo ya kituoni. OCD karuhusu magari ya maji taka yamwage kinyesi kwenye makazi ya Askari.
Simu yangu ina tatizo la camera, lakini nathibitisha kesho nitapata picha nzuri zaidi.
Dereva wa Gari la majitaka anatamba Boss wako katuruhusu, jiulize inakuwaje raia nije kumwaga mavi kwenye makazi ya Polisi?
Depo mojaKwa iyo wewe ni pot mkuu
Sio sisi ni CCM ndio adui yenukwa nyie mngemwagiwa hata kinyesi kabisa.
Unajikomba au unawaogopa!!??Poleni sana.
Afande tuwe wakweli Nina uhakika huwez kupata simu yenye camera nzuri hiyo ndio inaendana na uwezo wako mnaishi maisha magumu sana lakini kutwa kutumika na CCM kama toilet paper mnasikitisha sana hao madereva wote peponiView attachment 3091843
Hali ni mbaya sana kwetu Askari Polisi tunaokaa kwenye nyumba za kesho hapa maeneo ya kituoni. OCD karuhusu magari ya maji taka yamwage kinyesi kwenye makazi ya Askari.
Simu yangu ina tatizo la camera, lakini nathibitisha kesho nitapata picha nzuri zaidi.
Dereva wa Gari la majitaka anatamba Boss wako katuruhusu, jiulize inakuwaje raia nije kumwaga mavi kwenye makazi ya Polisi?
😅😅😅😅 Watanzania wetu tuwaonee huruma...Unajikomba au unawaogopa!!??