DOKEZO Magari ya Maji taka yamwaga maji kwenye Makazi ya Polisi Oysterbay

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608

Hali ni mbaya sana kwetu Askari Polisi tunaokaa kwenye nyumba za kesho hapa maeneo ya kituoni. OCD karuhusu magari ya maji taka yamwage kinyesi kwenye makazi ya Askari.

Simu yangu ina tatizo la camera, lakini nathibitisha kesho nitapata picha nzuri zaidi.

Dereva wa Gari la majitaka anatamba Boss wako katuruhusu, jiulize inakuwaje raia nije kumwaga mavi kwenye makazi ya Polisi?
 
🤣🤣🤣🤣Chafu tatu
 
Wame yatoa wapi hayo majitaka
 
nyie mkome na nya😂😂😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…