DOKEZO Magari ya Maji taka yamwaga maji kwenye Makazi ya Polisi Oysterbay

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
kwa nyie mngemwagiwa hata kinyesi kabisa.
 
Kwa iyo wewe ni pot mkuu
 
Mbona fresh tu nyie si mnaua watuna kuteka akina Sativa kuletu hiyo NYA
 
Boss wenu ni mmoja wa wasiopenda namna mambo yanavyoenda especially kwenye issue ya utekaji na mauaji police wakishirikishwa so ametumia lugha ya vitendo kuonyesha kwamba ninyi kukubali kutumika kwenye mipango mibaya akili zenu moja kwa moja zinafanana na hicho kilichomwagwa hapo
 
Afande tuwe wakweli Nina uhakika huwez kupata simu yenye camera nzuri hiyo ndio inaendana na uwezo wako mnaishi maisha magumu sana lakini kutwa kutumika na CCM kama toilet paper mnasikitisha sana hao madereva wote peponi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…