kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Tumeambiwa bandari imesimama kutoa huduma wenyewe wakakanusha hivyo mengi si yakuamini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna wakuwahoji na hakuna wa kugoma kutengeneza magari hayo…yani wewe unafikiri kuna taasisi yenye uwezo wa kuigomea CCM?Huwa yanaenda lakini yanaporudi bila shida hakuna tatizo.
Sasa yameharibika. Hapo kila mtu anaanz akujitoa.
Sentensi yako ya Kwanza inaonesha wewe ndio Mbumbumbu Humjui Vuta Nkuvute??Nadhani mleta mada ni mbumbumbu wa mambo mengi sana, Ajali aliyepata ni dereva unadanganya watu eti maelezo yanatakiwa kutolewa na mkuu wa msafara, Huu ni ulongo wa hali ya juu. Hivi ni nani anayejua chanzo cha ajali zaidi ya dereva aliyepatwa na ajali husika?
Ulongo mwingine ni kuhusu kukwama kwa matengenezo ya gari etuli kwa sababu idara za Serikali zinahoji kwanini magari husika yalikuwa kwenye ziara ya Makonda!!
Ifahamike kuwa ziara ya kiongozi yeyote wa CCM ni ziara ya kukagua utendaji wa Chama na Serikali, kwa upande wa Serikali wanaokaguliwa ni Watumishi wa Serikali wanaotekeleza Ilani ya Chama kilichoko madarakani, sasa kwa akili yako ulitarajia kwenye msafara wasiwepo wanaokaguliwa? Hapa huna hoja zaidi ya chuki binafsi kwa Makonda. Bahati mbaya sana unakuja kuposti utumbo kwenye ukrasa wa Jamiiforum sehemu ambayo tunaamini wamejaa intellectuals jitahidi ukumbi huu uwe unauposti Facebook, TikTok au Instagram kule.
Heri fb kuliko mapuruzai yaliyo X (twitter)kila kitu yanakubali!Mtoa mada alijua kuna wajinga wa facebook jf
Magari ya CCMAcha ulanzi bwashee kumekucha😀
Tangu lini gari ya Serikali ikawa na bima?
Yaani Serikali ijikatie bima, ilhali bima imo humo serikalini kama mtoto?
Bima ni Kwa walalahoi na sekta binafsi!!!
Sasa huyo Vuta ni kuvute amjue kwenye nini? Kuwa awezi andika uongo ….yani kwa akili yako ndogo kuwa serikali au taasisi inaweza pambana na CCM?Sentensi yako ya Kwanza inaonesha wewe ndio Mbumbumbu Humjui Vuta Nkuvute??
Vijana muache kuvamia nyuzi zenye uwezo zaidi yenu
CCM Ina magari?Magari ya CCM
CCM ina serikaliCCM Ina magari?
Sasa iweje uulizie Bima Mzee!!CCM ina serikali
Mbona hilo rahisi kwa Makonda. Hao wanahoji wanajitafutia mashaka. Watengeze mambo yaishe. Hio ripoti itasomwa bungeni au itasomwa live? Kama itaishia kwenye kabati imeisha hioUnakaribia mwezi mmoja sasa tangu msafara Ndugu Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, upate ajali kule Sululu, Masasi mkoani Mtwara. Ajali hiyo iliyohusisha magari yapatayo 10, ilitokea tarehe 11 mwezi uliopita na kusababisha uharibifu wa magari kadhaa yakiwamo ya serikali.
Katika kile kinachosemwa kama kiburi na jeuri ya kimadaraka chamani, Makonda amegoma kutoa ushirikiano kufanikisha marekebisho ya magari hayo yaliyohifadhiwa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA). Ushikirikiano utakiwao ni ripoti ya mkuu wa msafara juu ya ajali hiyo ambayo hadi sasa haijatolewa.
Makonda amewaambia maafisa wa kichama na kiserikali kuwa wakitaka kujua lolote wakakiulize chama kwakuwa ndicho kilichoruhusu na kuwezesha ziara yake mikoani-ikiwemo hiyo ailiyokuwa akitokea mkoani Ruvuma. Mkwamo wa matengenezo hasa unazikumba gari za serikali ambazo huhitaji ripoti kamilifu ili ziweze kutengenezwa.
Idara ambazo zinamiliki magari hayo ya serikali zilizopata ajali hiyo zinawataka maafisa wake na madereva wao waseme kwanini walikuwepo kwenye msafara huo wa kichama; hoja ambayo inapaswa kujibiwa na Makonda aliyegoma kufanya hivyo. Ripoti haijatolewa na magari hayajashughulikiwa.
Makonda, chama ni nani ili akaulizwe hata ajali yako ya Masasi?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Sombetini, Arusha)
V8 zipo nyingi tu, na zingene zioi mahali kama 40 na VXR Mpyaa zero kilometerKijana ana maamuzi yule, wakizidi kuchelewa kutengeza magari, aweza Anza ziara Kwa kutumia usafiri wa Punda😀
CDM ndio yenye magari zile Toyota hardtop, CCM inaungaunga😀Magari ya CCM
Unazeeka vibaya wewe Mzee.Unakaribia mwezi mmoja sasa tangu msafara Ndugu Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, upate ajali kule Sululu, Masasi mkoani Mtwara. Ajali hiyo iliyohusisha magari yapatayo 10, ilitokea tarehe 11 mwezi uliopita na kusababisha uharibifu wa magari kadhaa yakiwamo ya serikali.
Katika kile kinachosemwa kama kiburi na jeuri ya kimadaraka chamani, Makonda amegoma kutoa ushirikiano kufanikisha marekebisho ya magari hayo yaliyohifadhiwa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA). Ushikirikiano utakiwao ni ripoti ya mkuu wa msafara juu ya ajali hiyo ambayo hadi sasa haijatolewa.
Makonda amewaambia maafisa wa kichama na kiserikali kuwa wakitaka kujua lolote wakakiulize chama kwakuwa ndicho kilichoruhusu na kuwezesha ziara yake mikoani-ikiwemo hiyo ailiyokuwa akitokea mkoani Ruvuma. Mkwamo wa matengenezo hasa unazikumba gari za serikali ambazo huhitaji ripoti kamilifu ili ziweze kutengenezwa.
Idara ambazo zinamiliki magari hayo ya serikali zilizopata ajali hiyo zinawataka maafisa wake na madereva wao waseme kwanini walikuwepo kwenye msafara huo wa kichama; hoja ambayo inapaswa kujibiwa na Makonda aliyegoma kufanya hivyo. Ripoti haijatolewa na magari hayajashughulikiwa.
Makonda, chama ni nani ili akaulizwe hata ajali yako ya Masasi?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Sombetini, Arusha)
CCM ina BimaSasa iweje uulizie Bima Mzee!!