'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

Sentensi yako ya Kwanza inaonesha wewe ndio Mbumbumbu Humjui Vuta Nkuvute??

Vijana muache kuvamia nyuzi zenye uwezo zaidi yenu
 
Sentensi yako ya Kwanza inaonesha wewe ndio Mbumbumbu Humjui Vuta Nkuvute??

Vijana muache kuvamia nyuzi zenye uwezo zaidi yenu
Sasa huyo Vuta ni kuvute amjue kwenye nini? Kuwa awezi andika uongo ….yani kwa akili yako ndogo kuwa serikali au taasisi inaweza pambana na CCM?
 
Mbona hilo rahisi kwa Makonda. Hao wanahoji wanajitafutia mashaka. Watengeze mambo yaishe. Hio ripoti itasomwa bungeni au itasomwa live? Kama itaishia kwenye kabati imeisha hio
Kwako mzee Tupa tupa. Tupia nahii
 
Unazeeka vibaya wewe Mzee.

Umekuwa "Kubwa Jinga"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…