usome bure ujengewe na vyoo??
Wapi kuna anayesoma bure?
iNaonyesha kabisa popote ulipo na nafasi ulionayo umebebwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usome bure ujengewe na vyoo??
Bima ni mpago wa Biashara....hayana Bima
Hapana.Sio kweli. CCM ni taasisi kubwa, pesa inatolewa na taasisi.Kwamba Eti ili yatengenezwe kunahitajika maelezo kutoka kwa makonda ! Kuhusu ile incident !!
Ngoja tuone !Hapana.Sio kweli. CCM ni taasisi kubwa, pesa inatolewa na taasisi.
Duh 🙄usome bure ujengewe na vyoo??
Wanafunzi wanasomeshwa na kodi za wananchi !Wapi kuna anayesoma bure?
iNaonyesha kabisa popote ulipo na nafasi ulionayo umebebwa
Serikali ianzishe kodi ya dharula ambapo kila mtanzania atatakiwa kulipa sh.10,000/= kupitia bili ya maji kama ifanyavyo kwenye umeme.Unakaribia mwezi mmoja sasa tangu msafara Ndugu Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, upate ajali kule Sululu, Masasi mkoani Mtwara. Ajali hiyo iliyohusisha magari yapatayo 10, ilitokea tarehe 11 mwezi uliopita na kusababisha uharibifu wa magari kadhaa yakiwamo ya serikali.
Katika kile kinachosemwa kama kiburi na jeuri ya kimadaraka chamani, Makonda amegoma kutoa ushirikiano kufanikisha marekebisho ya magari hayo yaliyohifadhiwa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA). Ushikirikiano utakiwao ni ripoti ya mkuu wa msafara juu ya ajali hiyo ambayo hadi sasa haijatolewa.
Makonda amewaambia maafisa wa kichama na kiserikali kuwa wakitaka kujua lolote wakakiulize chama kwakuwa ndicho kilichoruhusu na kuwezesha ziara yake mikoani-ikiwemo hiyo ailiyokuwa akitokea mkoani Ruvuma. Mkwamo wa matengenezo hasa unazikumba gari za serikali ambazo huhitaji ripoti kamilifu ili ziweze kutengenezwa.
Idara ambazo zinamiliki magari hayo ya serikali zilizopata ajali hiyo zinawataka maafisa wake na madereva wao waseme kwanini walikuwepo kwenye msafara huo wa kichama; hoja ambayo inapaswa kujibiwa na Makonda aliyegoma kufanya hivyo. Ripoti haijatolewa na magari hayajashughulikiwa.
Makonda, chama ni nani ili akaulizwe hata ajali yako ya Masasi?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Sombetini, Arusha)
Wanafunzi wanasomeshwa na kodi za wananchi !
🙏🙏
Makonda sio mjinga!!Unakaribia mwezi mmoja sasa tangu msafara Ndugu Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, upate ajali kule Sululu, Masasi mkoani Mtwara. Ajali hiyo iliyohusisha magari yapatayo 10, ilitokea tarehe 11 mwezi uliopita na kusababisha uharibifu wa magari kadhaa yakiwamo ya serikali.
Katika kile kinachosemwa kama kiburi na jeuri ya kimadaraka chamani, Makonda amegoma kutoa ushirikiano kufanikisha marekebisho ya magari hayo yaliyohifadhiwa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA). Ushikirikiano utakiwao ni ripoti ya mkuu wa msafara juu ya ajali hiyo ambayo hadi sasa haijatolewa.
Makonda amewaambia maafisa wa kichama na kiserikali kuwa wakitaka kujua lolote wakakiulize chama kwakuwa ndicho kilichoruhusu na kuwezesha ziara yake mikoani-ikiwemo hiyo ailiyokuwa akitokea mkoani Ruvuma. Mkwamo wa matengenezo hasa unazikumba gari za serikali ambazo huhitaji ripoti kamilifu ili ziweze kutengenezwa.
Idara ambazo zinamiliki magari hayo ya serikali zilizopata ajali hiyo zinawataka maafisa wake na madereva wao waseme kwanini walikuwepo kwenye msafara huo wa kichama; hoja ambayo inapaswa kujibiwa na Makonda aliyegoma kufanya hivyo. Ripoti haijatolewa na magari hayajashughulikiwa.
Makonda, chama ni nani ili akaulizwe hata ajali yako ya Masasi?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Sombetini, Arusha)
Kabisa !Matumizi ya kodi za wananchi siyo magari ya kifahari kwa wakuu. Bali matumizi yenye tija ili kuboresha maisha ya walipa kodi wenyewe.
Ana invisible power ...alimwambia Rostam aondoke nchini akaishi iliko familia yakeMakonda amewaambia maafisa wa kichama na kiserikali kuwa wakitaka kujua lolote wakakiulize chama kwakuwa ndicho kilichoruhusu na kuwezesha ziara yake mikoani-ikiwemo hiyo ailiyokuwa akitokea mkoani Ruvuma. Mkwamo wa matengenezo hasa unazikumba gari za serikali ambazo huhitaji ripoti kamilifu ili ziweze kutengenezwa.
Planned mission?!Makonda sio mjinga!!
Ana intelligence ya kujua kilichojiri katika ajali hiyo!!
Hawezi toa ushirikiano kama ana wasiwasi ilikua planed mission!!
USO wa makonda umekaa kijasusi sio rahisi kama tuwazavyo!!
Ameona ni kama mtego TU huo kwake!!
Mawazo huru ya mlipa kodi asiekwepa!!
Kwa ajili ya kulipia hasara kama za magari ya Chama yakipata ajali !! 🙏Serikali ianzishe kodi ya dharula ambapo kila mtanzania atatakiwa kulipa sh.10,000/= kupitia bili ya maji kama ifanyavyo kwenye umeme.
Si magari ya chama dola tu na ya serikali yamo.Kwa ajili ya kulipia hasara kama za magari ya Chama yakipata ajali !! 🙏
Magari ya serikali yanakuwa na Bima?Kwani hayo magari hayana Bima?
Kwa ajili ya matengenezo ya magari yaliyopata ajali yakiwemo ya serikali kwenye msafara wa Makonda, hatujadili kuhusu yakipata ajali.Kwa ajili ya kulipia hasara kama za magari ya Chama yakipata ajali !! 🙏
😅😅😍🔥🙏🙏Kwa ajili ya matengenezo ya magari yaliyopata ajali yakiwemo ya serikali kwenye msafara wa Makonda, hatujadili kuhusu yakipata ajali.
Tutapata akili tu maana Makonda ndiye mbunge wetu mpya.😅😅😍🔥🙏🙏
Wanajipakulia minyama tu.Mengi yatakaa hapo kama muda wa miaka 2 then wanajiuzia kwa milioni moja moja, maintenance zitatumika fedha za umma na mwisho watajiuzia