'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

Yaani yale magari yamekuwa ya makonda baada ya kupata ajali πŸ˜„ mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Serikali ianzishe kodi ya dharula ambapo kila mtanzania atatakiwa kulipa sh.10,000/= kupitia bili ya maji kama ifanyavyo kwenye umeme.
 
Makonda sio mjinga!!

Ana intelligence ya kujua kilichojiri katika ajali hiyo!!

Hawezi toa ushirikiano kama ana wasiwasi ilikua planed mission!!

USO wa makonda umekaa kijasusi sio rahisi kama tuwazavyo!!

Ameona ni kama mtego TU huo kwake!!

Mawazo huru ya mlipa kodi asiekwepa!!
 
Ana invisible power ...alimwambia Rostam aondoke nchini akaishi iliko familia yake
 
Planned mission?!
Uso wa kijasusi ?!
πŸ˜‚πŸ™
Ngoja tuone hii movie itaishaje !!
 
Serikali ianzishe kodi ya dharula ambapo kila mtanzania atatakiwa kulipa sh.10,000/= kupitia bili ya maji kama ifanyavyo kwenye umeme.
Kwa ajili ya kulipia hasara kama za magari ya Chama yakipata ajali !! πŸ™
 
Kwani hayo magari hayana Bima?
Magari ya serikali yanakuwa na Bima?
Hapa ni wazi chama cha mapinduzi ndio wabadhilifu wa mali za serikali na ndio chanzo cha umasikini utokanao na matumizi mabaya ya mali za umma.
Halafu bila aibu huyo huyo Makonda wa CCM ndio anaueleza umma kuwa maofisa wa serikali ya CCM ndio wanaongoza kwa dhuluma dhidi ya wananchi, kukosa uwajibikaji, wizi na ufisadi.
Na kuwa Rais (mwenyekiti wa CCM ) Sasa atakuwa anasikiliza kero za wananchi mmojammoja Ikulu!
Halafu hapo bado kuna watu wanasema "mitano tena"?
Mitano my foot!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…