Ni kheri nizingatie kuongeza uzalishaji wa unga wa sembe ili kuongeza AJIRA kwa vijana.

au min -me nakosea?
Huo unga unazalisha wapi na viongozi wa CHAMA hatujui? Gari la million 5 ambalo tutabeba unga na kulifanyia biashara ya Uber na bolt ili kuongeza mapato ya chama pia hutaki?

Mh. Rais umebadilika sana, hakika madaraka yanalevya ... Nitaenda mahakamani

Nimelia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…