Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Una jua gunia la mahindi kg 108 ni bei gani?, Lina toa unga kg 25 mifuko mingapi!.Huo unga unazalisha wapi na viongozi wa CHAMA hatujui? Gari la million 5 ambalo tutabeba unga na kulifanyia biashara ya Uber na bolt ili kuongeza mapato ya chama pia hutaki?
Mh. Rais umebadilika sana, hakika madaraka yanalevya ... Nitaenda mahakamani
Nimelia sana
Kheri nikomae na unga wa sembe, kuliko bolt.
min -me kwani chama kime kataza kumiliki hata kijiko?