Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kwa mwendo huu, ukiona mtu anatembea amekaa kwenye usafiri wake hapa mjini, mheshimu sana!View attachment 3261996
Leta 700k hiyo tukanywe supu ya samaki
Mlandizi hiyoCarry bichwa kubwa/bichwa la ng'ombe
Ya kuwasha na kuondoka.
changamoto uje nazo wewe.
Bei yake ni 2.8 milioni
Location: kibaha
Contact ; WhatsApp 0712 148001. View attachment 3262021
We ulijuaje au ulivyokuwa na mimba ilikuharibikiaHela
Hela Huna.
Zinaharibika mimba bhana sembuse gari.
Mlandizi sehemu gani NERO, MTONGANI, MTAMBANI,KIRANGA RANGA, RUVU, AU WAPI NIPO KWA KASIGA HAPA ONGEA BEI CHAP CHAPMlandizi hiyo
Neno maskini sijawahi litumia kumtamkia mtu..Maskini hakosagi sababu, hata ukimwambia nikupe buuuure atakwambia sijui kuendeshaaa nitafutie na dereva.
Yes kaka. Nilikula maisha mwaka mzima. Nyumba kali nikapanga. Kila kitu ndani. Na ganji daily sifiki kwenye biashara 50 zinatuka tu kwenye simu. Udalali hahaha. Utamu sana. Ila nilituliaga mwezi na sipost. Weeee mpaka leo. Sijaona tena simu za wateja zikiita. Zikiita basi ujue gari ya mwaka juzi. Hahaha.Ukala pasu na mmiliki.
Mengine yamenunuliwa kabla hajapostiDah! Magari ya mil 5 yameishia gari moja tu! Mkuu hata passo zimekushinda kuweka?
Huyo mzungu au Paul scholes.
Niliongea Rais ana anakuita wewe sijui kwanini 😂Wanachama naona wanarusha shutuma kali boss sijui tatizo ni nini makutupora