PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Nimeshangaa kuona jinsi Magari ya mzungu yakivyokuwa na utofauti na Magari yetu ya kijapan,Jana nilikuwa nasukuma ndinga BMW 320i kutoka banana Hadi Kariakoo hakika kuna utofauti Mkubwa Sana na rumion Yangu Hadi nilikuwa siamini jinsi hizi gari zilivyobarikiwa kuna nguvu, stability, comfortability na kuchanganya fasta.
aisee mnaomiliki hizi mashine mnaishi katika sayari yenu kabisa hapa TANZANIA,Magari ya kijapan nimeendesha mengi Tu Ila hizi ndinga za wazungu ziko level nyingine pia haziwezi kufanana na wajapan wetu hata nusu.
Nimejaribu kuweka picha ya BMW 320i ya 2006 na Toyota harrier ya 2006 hasa Kwenye eneo la Vyuma vinavyoshikilia tairi......
angalia picha hii ya mwisho ya Toyota harrier jinsi ilivyokuwa chini