Magari ya mzungu yametuacha mbali Sana Sisi akina Toyota

Magari ya mzungu yametuacha mbali Sana Sisi akina Toyota

Mkuu wala usihangaike kutafuta Logic Dubai, hao Wana Hadi Lamborghini za mapolisi, hawajui kazi za KUFANYIA hela zao.
Hahahaha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ jamaa wanaishi maisha ya juu mno, BBC Swahili wamechapisha taarifa juu ya nchi ya Dubai kutengeneza mvua bandia ili kujikinga na joto
 
Mkuu Toyota ni Toyota tu na BMW ni BMW tu hata ukiendesha 1series BMW utafeel tofauti. Halafu 3 series sio luxury,ni gari ya kawaida sana. Luxury ni 7series.
Nope, BMW zote ni luxury sedan
 
German cars ni luxury cars. Zina premium features. Hata kuzimantain ni ghali sana. Ndo maana hata hao wazungu wenye vipato vya kawaida wanazigwaya.

Luxury version ya Toyota ni Lexus. Hata hizi wazungu wanazikimbia vilevile.

Bei ya LC200 ambayo ni top model ya toyata ni bei ya kawaida kwa models nyingi za german cars.

20210723_232343.jpg


20210723_232422.jpg


20210723_232357.jpg
 
Kuna kitu nimeshindwa kuelewa kuhusu hizi LC 300 Toyota land cruiser kwasabb hivisasa nchi kama Dubai zinatumiwa na polisi pia hata Australia nao wapo mbioni kutumia hizi gari kama gari Doria....
Ina maana ziko vizuri Sana Kwaajili ya ualifu au wameamua kuzishusha thamani?
Pesa wanazo.

Wanazitumia vyovyote wanavyotaka.

Hujaona hyper cars wanazitumia polisi pia?

Hata housegirl anapewa moja akanunue mahitaji ya nyumbani.

Sisi huku ndo tunaishi nazo kifahari.
 
Huniambii chochote kuhusu gari za mjapan.. nazipenda

Huwezi fananisha BMW na Lexus, VX v8, Nissan Platinum or Macho ya panzi. Haya magari ni roho ya paka
 
Toyota tunatumia kwa sababu hatuna uwezo wa Kumiliki BWM X6 na mengine au Mjapani yupo poa kushinda Mzungu?
Ukisoma comments za watu huko ulaya na marekani, wanasifia magari ya toyota kwua ni durable na cheap kumaintain kuliko hata ya manufacturers wao. Wanayasifu kuwa ukiwa unaendesha gari la toyota una uhakika wa safari yako bila gari kuharibika njiani.
Ila hata mimi nakubaliana nawe gari za mgermany zina raha yake aisee
 
Nimeshangaa kuona jinsi Magari ya mzungu yakivyokuwa na utofauti na Magari yetu ya kijapan,Jana nilikuwa nasukuma ndinga BMW 320i kutoka banana Hadi Kariakoo hakika kuna utofauti Mkubwa Sana na rumion Yangu Hadi nilikuwa siamini jinsi hizi gari zilivyobarikiwa kuna nguvu, stability, comfortability na kuchanganya fasta.

aisee mnaomiliki hizi mashine mnaishi katika sayari yenu kabisa hapa TANZANIA,Magari ya kijapan nimeendesha mengi Tu Ila hizi ndinga za wazungu ziko level nyingine pia haziwezi kufanana na wajapan wetu hata nusu.

Nimejaribu kuweka picha ya BMW 320i ya 2006 na Toyota harrier ya 2006 hasa Kwenye eneo la Vyuma vinavyoshikilia tairi......

angalia picha hii ya mwisho ya Toyota harrier jinsi ilivyokuwa chini

View attachment 1864469
View attachment 1864470
View attachment 1864482
Yaani kwa kifupi toyota vyuma vinavyoshikilia tairi wamevichukulia poa,yaani ukafie mbele.

Twafaaaaaaaaaaaa
 
Japanese cars ni durable na practical cars(engineering simplicity) ndo mana kwa watu wa kawaida zinauza zaidi popote pale duniani hata US zinauza sanaaaa kuliko any German car.

Japan ina reputation kubwa sana ya quality kweny kila kitu, ni umaskini wako tu unakusumbua. Kama unataka ride quality ya maana, sophistication na luxury, hands down European zitakidhi kiu yakoโ€ฆโ€ฆโ€ฆ lakini je ushawahi tia maguu kwenye Lexus au Infiniti model yoyote? Hata hapa mjini ni chache sana kuziona, trust me zinatick all boxes na bei ni mkasi zaidi hata kma ni used.
 
German machine ya ny_koooo[emoji23][emoji23][emoji23]

VW Amarok Vs Toyota LC70

Waarabu wenyewe huko Dubai, Desert Safari ni Nissan na Toyota sio kama hawana fedha ya VW au Mercedes G wagon.

 
Back
Top Bottom