PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
- Thread starter
-
- #41
Hahahaha πππππ jamaa wanaishi maisha ya juu mno, BBC Swahili wamechapisha taarifa juu ya nchi ya Dubai kutengeneza mvua bandia ili kujikinga na jotoMkuu wala usihangaike kutafuta Logic Dubai, hao Wana Hadi Lamborghini za mapolisi, hawajui kazi za KUFANYIA hela zao.
Nope, BMW zote ni luxury sedanMkuu Toyota ni Toyota tu na BMW ni BMW tu hata ukiendesha 1series BMW utafeel tofauti. Halafu 3 series sio luxury,ni gari ya kawaida sana. Luxury ni 7series.
Sawa.Nope, BMW zote ni luxury sedan
German cars ni luxury cars. Zina premium features. Hata kuzimantain ni ghali sana. Ndo maana hata hao wazungu wenye vipato vya kawaida wanazigwaya.
Luxury version ya Toyota ni Lexus. Hata hizi wazungu wanazikimbia vilevile.
Bei ya LC200 ambayo ni top model ya toyata ni bei ya kawaida kwa models nyingi za german cars.
Inategemea unaendesha toyota aina gani..Aisee ni kukosa pesa Tu Ila hawa wenzetu wenye Magari ya mzungu wanafeel tofauti na sidhani Kama mtu ambaye anamiliki hizi gari anaweza kurudi Kwenye Toyota
Pesa wanazo.Kuna kitu nimeshindwa kuelewa kuhusu hizi LC 300 Toyota land cruiser kwasabb hivisasa nchi kama Dubai zinatumiwa na polisi pia hata Australia nao wapo mbioni kutumia hizi gari kama gari Doria....
Ina maana ziko vizuri Sana Kwaajili ya ualifu au wameamua kuzishusha thamani?
Vile vyuma kwenye most of german cars ndo vinasababisha upate hiyo ride quality alioipata mtoa mada.Harrier wametuangusha sana,vyuma vyembamba kama miguu ya mwigulu nchemba
Safi sana mkuu.
Fundi anajaribu gari hadi Morogoro?πNdiyo maana mafundi wanapojaribu Magari hawendi Hadi morogoro kwasabb mtu ambaye anajua Magari haitaji kwenda morogoro
Mkuu nakutegemea kwenye sekta hii .....ila umehitimisha kwa kukubali yaishe au funika kombe tuuππππbila kuwapa elimuSawa.
Sasa mtu ashakuambia BMW zote ni luxury sedan. Una la kumueleza? Au uanze kumuelekeza nini maana ya luxury [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nakutegemea kwenye sekta hii .....ila umehitimisha kwa kukubali yaishe au funika kombe tuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]bila kuwapa elimu
Mjapan naona kama kailimit sana gari yake kutafuta reliability. Ni sawa, kupanga ni kuchagua na analijua soko lake.
Ukisoma comments za watu huko ulaya na marekani, wanasifia magari ya toyota kwua ni durable na cheap kumaintain kuliko hata ya manufacturers wao. Wanayasifu kuwa ukiwa unaendesha gari la toyota una uhakika wa safari yako bila gari kuharibika njiani.Toyota tunatumia kwa sababu hatuna uwezo wa Kumiliki BWM X6 na mengine au Mjapani yupo poa kushinda Mzungu?
Yaani kwa kifupi toyota vyuma vinavyoshikilia tairi wamevichukulia poa,yaani ukafie mbele.Nimeshangaa kuona jinsi Magari ya mzungu yakivyokuwa na utofauti na Magari yetu ya kijapan,Jana nilikuwa nasukuma ndinga BMW 320i kutoka banana Hadi Kariakoo hakika kuna utofauti Mkubwa Sana na rumion Yangu Hadi nilikuwa siamini jinsi hizi gari zilivyobarikiwa kuna nguvu, stability, comfortability na kuchanganya fasta.
aisee mnaomiliki hizi mashine mnaishi katika sayari yenu kabisa hapa TANZANIA,Magari ya kijapan nimeendesha mengi Tu Ila hizi ndinga za wazungu ziko level nyingine pia haziwezi kufanana na wajapan wetu hata nusu.
Nimejaribu kuweka picha ya BMW 320i ya 2006 na Toyota harrier ya 2006 hasa Kwenye eneo la Vyuma vinavyoshikilia tairi......
angalia picha hii ya mwisho ya Toyota harrier jinsi ilivyokuwa chini
View attachment 1864469
View attachment 1864470
View attachment 1864482