Magari ya taka yavute vyoo usiku na sio mchana

Una hoja za msingi sana, huenda waliona ni gharama wakaona bora kuwa na vyoo vya mashimo. Ama ni tenda za watu!
 
Una hoja za msingi sana, huenda waliona ni gharama wakaona bora kuwa na vyoo vya mashimo. Ama ni tenda za watu!
Hakuna cha gharama, sanitation services zinakwenda sambamba na upanukaji wa miji mkuu wangu, ninaangalia hapa commonwealth marathon, chasing group wapo 5 ,2kenyans, shout for our own Simbo,nini we went wrong mpaka wakenya wapo mbele yetu,our simbo he is doing very well
 
Umenikumbusha jambo, kama hadi leo tunahangaika na "kampeni ya nyumba ni choo" unafikiri hili la systems za kisasa tutaweza?
 
Umenikumbusha jambo, kama hadi leo tunahangaika na "kampeni ya nyumba ni choo" unafikiri hili la systems za kisasa tutaweza?
Ndio maana tuambiane ukweli, kama nchi kuna kipindi wa turn a wrong one,kuna kipindi athletics wetu hasa wa mbio ndefu tulikua tunakwenda sambamba na Kenya, sasa angalia walipo Kenya kwa sasa na sisi tulipo, it's craze mkuu wapi na wapi kuleta kampeni za nyumba moja na Choo moja huu ni upuuzi, ni wajibu wa serikali kujenga hizi systems, hope's leo tutapata kitu to cheer us kama taifa,our own Simbo to win this marathon, so far 2n place looks good, hii lazima tushinde
 
Kwa hiyo usiku ndo watu wasilale? Wavute hewa chafu?
 
Nani ametuloga?
 
Mbona mnajisaidia mchana?
 

Ipo ila inategemea anapoishi.
Hii systim iko chini ya dawasa hata ukitaka kuungajishiwa ni gharama sana na nasikia unalipia (kama tunavyolipia maji safi)
 
Mkuu umeeleweka, kuna maeneo ya goba na kimara, kwa vile vilima na mabonde hiyo system ya mabomba changamoto yake ni kubwa sana,
Hata Dawasco kuna maeneo kufikisha maji ni mtihani mzito sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…