Now mkuu tunaweza kujadili what's went wrong, mitaa ya kariakoo tuliirithi ikiwa na systems hii,imepangwa vyema na kila mkazi alikua anajua lini gari ya kuchukua uchafu itapita mtaa wake,now nini kimeisibu kariakoo hii ya sasa kuonekana kama squatter township fulani?,kabla ujenzi wa makazi haujaanza ni wajibu wa serikali kujiridhia kwanza na kupeleka huduma hizi za sanitation, barabara, shule, etcra ndio viwanja vipimwe, kwa sasa ni shida why miji yetu iwe na vyoo vya shimo?,unasafiri Dar to Songea, in the middle of nowhere driver anasimamisha bus na abiria wanaingia porini to do no 1&2 porini!why tusijenge vituo njiani venue flush toilets?