Magari ya umeme kutoka China hatiani kupigwa marufuku Ulaya

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Baada ya makampuni ya uchina kuteka soko la magari ya umeme duniani kwa sasa.

Umoja wa ulaya kupitia kauli iliyo tolewa na Rais wa umoja huo sasa kuja na kampeni maalumu ya kudhibiti utitiri wa ndinga za EV toka China.

Bi Ursula Von de Leyen anasema
"Global markets are now flooded with cheaper Chinese electric cars.

And their price is kept artificially low by huge state subsidies.

We are launching an anti-subsidy investigation into electric vehicles coming from China."

Screenshot_20230914-145123.jpg

Umoja wa ulaya wataweza kweli kupambana na moto uliowashwa na haya makampuni ya umeme ya China yanayo pepea kwa kasi sasa ? Tusubiri tuone
 
Beberu anajua they cant stop China wamebaki kupiga kelele tuu na majungu, walimpiga ban kila kona kwenye Chip technology lakini haikusaidia, juzi HUAWEI kaja na technology kali kuliko walivyotegemea, wazungu mafala sana wanafikiri wao peke yao ndio wanahitaji kuishi vizuri, ila mchina anawakomesha na mchina akipata anamwaga dunia nzima
 
Wajerumani wanalia tu wao kila kitu wanadhani watashinda
Hata zamani wao walikuwa wa kwanza kutengeneza solar panels ila mchina alipoiba idea tu alifyatua kama kichaa na bei bwerereeee.

Jamaa wakakasirika wakasema tunataka China apandishe bei China akakataa wakatishia ulaya kuachana nae kibiashara na yeye akasema sinunui Wine za ulaya tena. Ukiangalia Wine wachina wanaagiza nyingi sana toka ulaya ikabidi ulaya waache mzozo

Sasa hili la kuwaogopa hapo 🇬🇧 tayari wana order kibao ya magari hayo na mpaka batteries zinaingia nyingi tu

Mpaka kufikia mwaka 2030 Uingereza watakuwa wameachana na magari ya diesel na petrol kwa pamoja

Hebu na sisi tuache kuwa Nzi tubadilike tuwe Nyuki

Tutafute wawekezaji hapo hapo tz wajenge kiwanda cha kutengeneza Batteries, mbona zamani vilikuwepo? Huyo mganga aliewaroga kamtafuteni sio akili zenu hizo

Dunia inaenda kwa kasi sana na nyie msiwe nyuma na kusubiri kutupiwa magari ya diesel kama nguo za mitumba

Hamuoni hiyo ni wake-up call?
 
Baada ya makampuni ya uchina kuteka soko la magari ya umeme duniani kwa sasa.

Umoja wa ulaya kupitia kauli iliyo tolewa na Rais wa umoja huo sasa kuja na kampeni maalumu ya kudhibiti utitiri wa ndinga za EV toka China.

Bi Ursula Von de Leyen anasema
"Global markets are now flooded with cheaper Chinese electric cars.

And their price is kept artificially low by huge state subsidies.

We are launching an anti-subsidy investigation into electric vehicles coming from China."

View attachment 2748959
Umoja wa ulaya wataweza kweli kupambana na moto uliowashwa na haya makampuni ya umeme ya China yanayo pepea kwa kasi sasa ? Tusubiri tuone
Hii fursa kwetu Afrika.
 
Wajerumani wanalia tu wao kila kitu wanadhani watashinda
Hata zamani wao walikuwa wa kwanza kutengeneza solar panels ila mchina alipoiba idea tu alifyatua kama kichaa na bei bwerereeee
Jamaa wakakasirika wakasema tunataka China apandishe bei China akakataa wakatishia ulaya kuachana nae kibiashara na yeye akasema sinunui Wine za ulaya tena
Ukiangalia Wine wachina wanaagiza nyingi sana toka ulaya ikabidi ulaya waache mzozo

Sasa hili la kuwaogopa hapo 🇬🇧 tayari wana order kibao ya magari hayo na mpaka batteries zinaingia nyingi tu

Mpaka kufikia mwaka 2030 Uingereza watakuwa wameachana na magari ya diesel na petrol kwa pamoja

Hebu na sisi tuache kuwa Nzi tubadilike tuwe Nyuki

Tutafute wawekezaji hapo hapo tz wajenge kiwanda cha kutengeneza Batteries, mbona zamani vilikuwepo? Huyo mganga aliewaroga kamtafuteni sio akili zenu hizo

Dunia inaenda kwa kasi sana na nyie msiwe nyuma na kusubiri kutupiwa magari ya diesel kama nguo za mitumba
Hamuoni hiyo ni wake-up call?
Mkuu vipo viwanda vya battery za magari hapa Tanzania mfano Rhino batteries.
Mimi naitumia moja kwenye mfumo solar huko porini shambani. Nawashia taa, nachaji simu, laptop, n.k.
Za EV zitatengenezwa nchini soon.
 
Ni kumpa nafasi mchina afanye yake tu. Tumpe pori moja Bagamoyo afungue kiwanda cha battery maana madini ya malighafi tunayo
 
Wow I didn't know that
Basi tuko vizuri ila nafikiri wangewaza kuwa wasambazaji wakubwa Africa kwani hapa 🇬🇧 wanalazimisha tununue ya hybrid au full electric kwa kututoza kulipia ULEZ Ultra Low Emission kwa magari yasiyokidhi viwango vyao
Yaani tunakomeshwa na magari ya umeme ni ghali sana ndio maana ulaya wanamuogopa mchina
 
Ni kumpa nafasi mchina afanye yake tu. Tumpe pori moja Bagamoyo afungue kiwanda cha battery maana madini ya malighafi tunayo
Wazo zuri sana ila waswahili wengi hawaliwazii hilo kuwa wataajiriwa watu kibao

Kwa mfano Germany wanaweka kiwanda cha kutengeneza aina 2 za magari yao hapa 🇬🇧 na wataajiriwa watu wengi sana ni mradi mkubwa sana na utaanza 2026
 
Back
Top Bottom