Baada ya makampuni ya uchina kuteka soko la magari ya umeme duniani kwa sasa.
Umoja wa ulaya kupitia kauli iliyo tolewa na Rais wa umoja huo sasa kuja na kampeni maalumu ya kudhibiti utitiri wa ndinga za EV toka China.
Bi Ursula Von de Leyen anasema
"Global markets are now flooded with cheaper Chinese electric cars.
And their price is kept artificially low by huge state subsidies.
We are launching an anti-subsidy investigation into electric vehicles coming from China."
View attachment 2748959
Umoja wa ulaya wataweza kweli kupambana na moto uliowashwa na haya makampuni ya umeme ya China yanayo pepea kwa kasi sasa ? Tusubiri tuone