Magari ya umeme kutoka China hatiani kupigwa marufuku Ulaya

Magari ya umeme kutoka China hatiani kupigwa marufuku Ulaya

Tutegemee kuwa, Not longer time to come magari hayo yataingia Africa hata sisi wa kipato cha chini tutayanua tu!
Kwa kweli China anawatesa Mabeberu!
 
Tangu March mwaka huu China ndilo taifa linaongoza kwa kuuza magari duniani (exporting)

Japan kashapigwa gap kubwa sana. Maana ndiye alikuwa top kwa miaka mingi

Wivu umewashika. This is double standard
Na hayo magari walioongoza kuuza ni brand za mataifa mengine sio ya kwao, wanatengeneza under license.
 
Na hayo magari walioongoza kuuza ni brand za mataifa mengine sio ya kwao, wanatengeneza under license.
Mkuu zingekuwa brands za kwao unafikiri wangeleta figisu

Hayo magari yametengenezwa na China based companies kama BYD, Geely, SAIC, Li n.k

Western Electric car company iliyowekeza China ni Tesla tu
 
Back
Top Bottom