Magari ya Wagonjwa Yawe Tayari na Mafuta muda wote

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Magari ya Wagonjwa yawe tayari muda wote. Tulishanunua magari, yawe na mafuta. Kila wakati yawe na mafuta. Tusichangishe wagonjwa kuweka mafuta kwenye gari ya Serikali kubeba mgonjwa ambaye yuko mautini-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba.

📍Ilongero-Singida
🗓️Septemba 06, 2026

——————-

Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Jimbo la Ilongero, Wilaya ya Singida, mkoani Singida, katika ziara yake ya kikazi ya kusikiliza kero za wananchi na kusimamia utekelezaji wa miradi ya mae
ndeleo.
 
View attachment 3664700ndeleo.
Nchi ngumu hii,
Now nipo 38,s now Nimeacha tabia ya kuilaumu serekali

Mimi mwenyewe nijijenge niwe serikali mambo ya kuilaumu serekali Nimeacha toka last year
 
Back
Top Bottom