Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Kwahiyo ni malipizi ya asili (Karma)?Yawe salama kwa sababu gani?Mbona sisi chini ya uongozi wao hatupo salama?Mafuta ya kupikia yanapanda bei wao wapo kimya,tunatekwa,tunauawa,tunasingiziwa kesi za uongo,rasilimali za nchi zinahamishiwa Chato,kura zetu zinaibiwa,e.t.c!
They better stay tuned,the worst is yet to come!Kwahiyo ni malipizi ya asili (Karma)?
Haka kasentensi nimekaona sana kwenye machapisho yakoThey better stay tuned,the worst is yet to come!
Hiyo technologist haizuii head to head collision mkuu..itasimamisha Gari lako haitaisimamisha probox yangu inayokuja kukugonga..
Gari ikisimama huwa nzito Sana. Gari ikiwa kwenye mwendo mkali huwa nyepesi sana. Utadhurika zaidi wewe na pulobokisi lakoHiyo technologist haizuii head to head collision mkuu..itasimamisha Gari lako haitaisimamisha probox yangu inayokuja kukugonga..
Kama Ni semi je..au Basi Kama kilichotokea hapo itakuajeGari ikisimama huwa nzito Sana. Gari ikiwa kwenye mwendo mkali huwa nyepesi sana. Utadhurika zaidi wewe na pulobokisi lako
Kwa hiyo unaombea nife? Naona unaniandama sana, umeniletea pulobokisi lako, nimelishinda, Sasa unataka uniletee ma semi na mabasi? Weee ni mtu m'badiKama Ni semi je..au Basi Kama kilichotokea hapo itakuaje
Hawana imani na raia, wanafahamu wengi waliwakataa.Alafu hii mivieitee yao huwa inakimbia sana juzi yalitupita kama matatu alafu traffiki wanayaacha tu basi nayo wayadhibiti tupunguze majanga
Mmh kumbe basi ngoja tuwaache wafanye wanavyotaka wao wapo juu ya sheriaHawana imani na raia, wanafahamu wengi waliwakataa.
Kwa mtazamo wangu tatizo litakuwa kwa madereva kwa nn ukimbie mwendo mkali wakat unajua kabisa hali ya barabara si nzuri kingine huwa traffiki wakiyaona aya mavieitee wanayaacha yafanye makosa mahali pameandikwa tembea spidi 50 lkn wao spidi 100 kwa nn yaspitade majangaMengi yanunuliwa kwa bei ya 400m! Sasa kama siyo salama sijuwi nani wa kumlaumu..
Shida haipo kwa watengenezaji, shida ipo kwetu waendeshaji, tunalazimisha kupenyeza siasa hata kwenye AI