Kama gari gani yenye sifa hizo ulizotaja?View attachment 1693832
Sitaki kujikita kwenye chanzo au sababu ya ajali, nataka hoja yangu niijenge kwenye msingi mmoja tu, USALAMA WA MAGARI WAYATUMIAYO VIONGOZI WETU.
Usalama wa chombo cha kusafiria hujumuisha mambo mengi, magurudumu, mifumo ya breki, injini, nk.
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yametuletea artificial intelligence ambapo gari au chombo huwa kina kuwa na akili ya kujiuliza, kufanya hesabu na kufanya maamuzi ya jumla.
Ndio maana Kuna magari yanaweza kujiendesha yenyewe.
Back to the topic;
Hivi inakuwaje Toyota Land Cruiser viieiteee ya milioni 450 ishindwe kusoma Hali ya barabara,spidi, umbali wa vyombo vingine na Kisha kujinguza mwendo kabisa?
Kuna gari zinasoma control yako, zinasoma speed unayoendesha, zinasoma barabara na kuamua kwamba hata ukiimbiza vipi vipi haitakimbia itaishia mwendo wa kadiri tu.
Sasa haya magari ya VIONGOZI yanakosaje mifumo hiyo wakati magari kibao tu ya mtumba ya Bei poa yana hiyo mifumo?
Upo sahihi mkuu jamaangu mmoja alienda kijijini kwao huko Port Elizabeth mashambani bara bara ya vumbi akawa anakwenda speed kubwa utadhani yupo lami nadhani alipewa warning hakujua baadae gari ilipo sense yupo tambarale ikazima kabisaa jamaa akaipaki na kuwapigia Mercedes dealer waliomuuzia wakamwambia tunakuja walipofika walimuonyesha warning zote za speed kubwa ndio maana gari imegoma kwenda walimwambia bara bara hii unatakiwa kwenda mwendo usiozidi kadhaa itaenda na Mercedes hawawezi kuprogram mwendo unaotaka wewe sehemu hatarishi ikabidi akubaliane na kanuni zao ikawashwa gari akaendelea kula Bata tuu ni Mercedes ya 2019 huwa namwambia hizo gari Bora huwa zinaongea zisikilize sasa cluiser zetu mazee wajapani wametushika masikio tunaona sawa tuu ...Yaani kusafiri na ist ni salama zaidi kuliko hayo ma upepo...Kwa namna ambavyo technology ilivyo endelea, artificial intelligence, sensors development etc nadhani hilo gari lingehisi kuwa hii spidi ninayo endeshwa na aina ya barabara sio salama kwangu kwa hiyo lisingezindi mwendo wa 130km kwa saa.
Hata hapa bongo kuna magari yana sense hali ya barabara, speed, uendeshaji wako na kadhalika hivyo kuna mwendo fulani salama kwako yataenda, hayatazidi hapo.
Kwa sauti ya juu nasema USALAMA wa hayo magari ni mdogo
Mercedes BenzKama gari gani yenye sifa hizo ulizotaja?
Wanaweka Cha juu mengi ya haya magari ni 180-240Mengi yanunuliwa kwa bei ya 400m! Sasa kama siyo salama sijuwi nani wa kumlaumu..
Wajifunze basi kuweka speed limit kama Bado hawajaandika wosiaJambo la kusikitisha ni kwamba Hawa viongozi ndio mashabiki wakubwa wa mwendokasi.
kama ni Semi tunasema imeisha hio 😂😂😂😂😂 chuma ina tonnes 30 mgongoni Vieite lazma iwe chapati! Hamna Airbag ya kuzuia Tonnes 30Kama Ni semi je..au Basi Kama kilichotokea hapo itakuaje
shida ya viongozi wetu wengi ni washamba ki protocol kiongozi anatakiwa akae siti ya nyuma ndio kuko salama lakini ki bongo bongo kiongozi anataka avunje kishoka siti ya mbele ukitokea mzinga yeye ndio wa kwanza hapa bongo watu makini naonaga rais makam wa rais na waziri mkuu ndio hukaa siti za nyuma hawa wenzangu na mimi lazima wavunje kishoka mbeleKwa hiyo unaombea nife? Naona unaniandama sana, umeniletea pulobokisi lako, nimelishinda, Sasa unataka uniletee ma semi na mabasi? Weee ni mtu m'badi
ndio Kanuni za V.I.P driving hawa madereva wa viongozi wanafundishwa ila viongozi ni washamba ndio mana wanakufa sana matajili wengi huwa wanakaa siti ya nyuma sio kwa bahati mbaya ila ni ishu za usalama tuAngekaa nyuma angekuwepo maana nyuma kuzima kabisa
Tena mi ningekaa nyuma ya dereva kabisa😂ndio Kanuni za V.I.P driving hawa madereva wa viongozi wanafundishwa ila viongozi ni washamba ndio mana wanakufa sana matajili wengi huwa wanakaa siti ya nyuma sio kwa bahati mbaya ila ni ishu za usalama tu
[emoji16]tena mi ningekaa nyuma ya dereva kabisa[emoji23]
At least unatapunguza ukubwa wa madharaHiyo technologist haizuii head to head collision mkuu..itasimamisha Gari lako haitaisimamisha probox yangu inayokuja kukugonga..
Na raha ya kuendeshwa ni kukaa siti ya nyuma... Mbel wakae wasaidizi wakondio Kanuni za V.I.P driving hawa madereva wa viongozi wanafundishwa ila viongozi ni washamba ndio mana wanakufa sana matajili wengi huwa wanakaa siti ya nyuma sio kwa bahati mbaya ila ni ishu za usalama tu
Only fools dieYawe salama kwa sababu gani?Mbona sisi chini ya uongozi wao hatupo salama?Mafuta ya kupikia yanapanda bei wao wapo kimya,tunatekwa,tunauawa,tunasingiziwa kesi za uongo za uhujumu uchumi,rasilimali za nchi zinahamishiwa Chato,wanaiba kura zetu,e.t.c!