Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
He is a national number one fool.Magufuli is a country bumpkin!Only fools die
He is a national number one fool.Magufuli is a country bumpkin!Only fools die
Mkuu, G class yenye hizo options zote inakaribia au kizidi US$250k. Sasa kila kiongozi akipata hilo dude kweli zahanati zitajengwa?Mercedes Benz
Kwa mfano, gari la kiongozi gani halikusoma alama za nyakati?
Sitaki kujikita kwenye chanzo au sababu ya ajali, nataka hoja yangu niijenge kwenye msingi mmoja tu, USALAMA WA MAGARI WAYATUMIAYO VIONGOZI WETU.
Usalama wa chombo cha kusafiria hujumuisha mambo mengi, magurudumu, mifumo ya breki, injini, nk.
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yametuletea artificial intelligence ambapo gari au chombo huwa kina kuwa na akili ya kujiuliza, kufanya hesabu na kufanya maamuzi ya jumla.
Ndio maana Kuna magari yanaweza kujiendesha yenyewe.
Back to the topic;
Hivi inakuwaje Toyota Land Cruiser viieiteee ya milioni 450 ishindwe kusoma Hali ya barabara,spidi, umbali wa vyombo vingine na Kisha kujinguza mwendo kabisa?
Kuna gari zinasoma control yako, zinasoma speed unayoendesha, zinasoma barabara na kuamua kwamba hata ukiimbiza vipi vipi haitakimbia itaishia mwendo wa kadiri tu.
Sasa haya magari ya VIONGOZI yanakosaje mifumo hiyo wakati magari kibao tu ya mtumba ya Bei poa yana hiyo mifumo?
Tumeanza tena MAMBO YA NYAKATI?🤣😂Kwa mfano, gari la kiongozi gani halikusoma alama za nyakati?
Dereva hawezi ku over speed bila idhini ya boss wakeMkuu, G class yenye hizo options zote inakaribia au kizidi US$250k. Sasa kila kiongozi akipata hilo dude kweli zahanati zitajengwa?
Pia kama umeangalia speed za hizo crash test hazizidi 65kph. Ukipiga zile 160 zetu, ukipata balaa kuchomoka ni ngumu
Umesema point ya kuhimu saana. Maana karibu kila mtu analaumu madereva pekee.Dereva hawezi ku over speed bila idhini ya boss wake