Magari yanayotumiwa na viongozi wetu ni salama kiasi gani?

Kama gari gani yenye sifa hizo ulizotaja?
 
Upo sahihi mkuu jamaangu mmoja alienda kijijini kwao huko Port Elizabeth mashambani bara bara ya vumbi akawa anakwenda speed kubwa utadhani yupo lami nadhani alipewa warning hakujua baadae gari ilipo sense yupo tambarale ikazima kabisaa jamaa akaipaki na kuwapigia Mercedes dealer waliomuuzia wakamwambia tunakuja walipofika walimuonyesha warning zote za speed kubwa ndio maana gari imegoma kwenda walimwambia bara bara hii unatakiwa kwenda mwendo usiozidi kadhaa itaenda na Mercedes hawawezi kuprogram mwendo unaotaka wewe sehemu hatarishi ikabidi akubaliane na kanuni zao ikawashwa gari akaendelea kula Bata tuu ni Mercedes ya 2019 huwa namwambia hizo gari Bora huwa zinaongea zisikilize sasa cluiser zetu mazee wajapani wametushika masikio tunaona sawa tuu ...Yaani kusafiri na ist ni salama zaidi kuliko hayo ma upepo...
 
Na pia nimeona Tanzania magari mengi yanapishana kwa speed kubwa mno yaani magari yanapopishana hawapunguzi mwendo kabisaa kwa bara bara za kupishana ukiona gari kulia punguza mwendo hata ikitokea ajali inakua na madhara madogo watu wanapishana utadhani analipita gari nyingine sana na kwa hayo maputo ni hatari Sana..
 
Kama Ni semi je..au Basi Kama kilichotokea hapo itakuaje
kama ni Semi tunasema imeisha hio 😂😂😂😂😂 chuma ina tonnes 30 mgongoni Vieite lazma iwe chapati! Hamna Airbag ya kuzuia Tonnes 30
 
Bila shaka jamaa alitanua huyo maana impact yake inaonesha kabisa alimpelekea body katibu tawala😂😂😂
Hapo dereva lazma katoka mzima wa afya.
 
Kwa hiyo unaombea nife? Naona unaniandama sana, umeniletea pulobokisi lako, nimelishinda, Sasa unataka uniletee ma semi na mabasi? Weee ni mtu m'badi
shida ya viongozi wetu wengi ni washamba ki protocol kiongozi anatakiwa akae siti ya nyuma ndio kuko salama lakini ki bongo bongo kiongozi anataka avunje kishoka siti ya mbele ukitokea mzinga yeye ndio wa kwanza hapa bongo watu makini naonaga rais makam wa rais na waziri mkuu ndio hukaa siti za nyuma hawa wenzangu na mimi lazima wavunje kishoka mbele
 
Angekaa nyuma angekuwepo maana nyuma kuzima kabisa
ndio Kanuni za V.I.P driving hawa madereva wa viongozi wanafundishwa ila viongozi ni washamba ndio mana wanakufa sana matajili wengi huwa wanakaa siti ya nyuma sio kwa bahati mbaya ila ni ishu za usalama tu
 
ndio Kanuni za V.I.P driving hawa madereva wa viongozi wanafundishwa ila viongozi ni washamba ndio mana wanakufa sana matajili wengi huwa wanakaa siti ya nyuma sio kwa bahati mbaya ila ni ishu za usalama tu
Tena mi ningekaa nyuma ya dereva kabisa😂
 
ndio Kanuni za V.I.P driving hawa madereva wa viongozi wanafundishwa ila viongozi ni washamba ndio mana wanakufa sana matajili wengi huwa wanakaa siti ya nyuma sio kwa bahati mbaya ila ni ishu za usalama tu
Na raha ya kuendeshwa ni kukaa siti ya nyuma... Mbel wakae wasaidizi wako
 
Sio viongozi tu hata hata hayo magar tunayotumia sis raia wa kawaida yana ubora kiasi gan?
Kuna magar kama noah,vits,spacio na Ist unazan yana ubora inapotokea swala la ajali

Dont drink and drive
 
Hatujui aliesababisha hiyo ajali,lakini kukifanyika utafiti utagundua kuwa V8 za serikali nyingi zimepata ajali tena zikiwa bado ziko kwenye condition nzuri kabisa.Mimi nadhani shida sio magari,shida ni madereva wetu ambao hawataki kuyaendesha haya magari kulinganisha na barabara zetu.Ushauri wangu ili kuokoa pesa zinazopotea kununua haya magari ingefanyika kama mabasi,yafungiwe speed governers ambapo speed isizidi 160kmh na ufanyike utaratibu wa kuwapumzisha madereva wanapokuwa wamefanya kazi kwa masaa mengi...
 
Yawe salama kwa sababu gani?Mbona sisi chini ya uongozi wao hatupo salama?Mafuta ya kupikia yanapanda bei wao wapo kimya,tunatekwa,tunauawa,tunasingiziwa kesi za uongo za uhujumu uchumi,rasilimali za nchi zinahamishiwa Chato,wanaiba kura zetu,e.t.c!
Only fools die
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…