Magari yanayotumiwa na viongozi wetu ni salama kiasi gani?

Mercedes Benz
Mkuu, G class yenye hizo options zote inakaribia au kizidi US$250k. Sasa kila kiongozi akipata hilo dude kweli zahanati zitajengwa?

Pia kama umeangalia speed za hizo crash test hazizidi 65kph. Ukipiga zile 160 zetu, ukipata balaa kuchomoka ni ngumu
 
Kwa mfano, gari la kiongozi gani halikusoma alama za nyakati?
 
Mkuu, G class yenye hizo options zote inakaribia au kizidi US$250k. Sasa kila kiongozi akipata hilo dude kweli zahanati zitajengwa?

Pia kama umeangalia speed za hizo crash test hazizidi 65kph. Ukipiga zile 160 zetu, ukipata balaa kuchomoka ni ngumu
Dereva hawezi ku over speed bila idhini ya boss wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…