Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
We unaumia nini?Kwanini wasisubiriee wamalize kwa 100% ndiyo lianze kutumika
Ova
Ilikuwa HaijakamilikaKwanini wasisubiriee wamalize kwa 100% ndiyo lianze kutumika
Ova
Nadhani usalama wa mafundi (wamaliziaji) siyo kipaumbele kwa sasa.Kwanini wasisubiriee wamalize kwa 100% ndiyo lianze kutumika
Ova
Hizo asilimia zingine huwa za Taa, rangi za laneKwanini wasisubiriee wamalize kwa 100% ndiyo lianze kutumika
Ova
Utajuaje bati linavuja isiponyesha??Kwanini wasisubiriee wamalize kwa 100% ndiyo lianze kutumika
Ova
Ahaaaa ahaaa ahaaaaCCM inazidi kutimiza ahadi zake.
Oooh! ..kumbe kodi zinakusanywa kwa makabila ?! Kabisaa yaani katika vitu vyooote ulivyowaza ukaona Kodi zilizotokana na kabila fulani ndio zimetumika ..heheee [emoji1][emoji1] kweli bado tuna safari ndefu ya uhuru wa fikra na mawazo.Safi sana, kodi za wachaga hizo.
Na ya chamaNaona Bendera za Mchina ndani ya Ardhi ya Tanzania.
Wamechelewa sana kulijenga hilo daraja.
Zilikuwa zinapelekwa !!!!.Safi sana, kodi za wachaga hizo.