Magari yaruhusiwa daraja la Wami. Ujenzi umekamillika 90%

Magari yaruhusiwa daraja la Wami. Ujenzi umekamillika 90%

Naona Bendera za Mchina ndani ya Ardhi ya Tanzania.
Angalia hizo bendera nyingine hapo...
IMG_20221027_172348.jpg
 
Mbona lipo juu sana tofauti na lile la mkoloni yani ukijichanganya ukatumbukiza gari hapo ndio basi tena
 
Nilipita hapo daraja lipo juu sana tofauti na lile la mkoloni yani ukijichanganya ukatumbukiza gari hapo ndio basi tena
 
Nilipita hapo daraja lipo juu sana tofauti na lile la mkoloni yani ukijichanganya ukatumbukiza gari hapo ndio basi tena
Fafanua, daraja la kisasa then ukijichanganya ndiyo basi tena? una maana ipi ? limekosewa design ama
 
Oooh! ..kumbe kodi zinakusanywa kwa makabila ?! Kabisaa yaani katika vitu vyooote ulivyowaza ukaona Kodi zilizotokana na kabila fulani ndio zimetumika ..heheee [emoji1][emoji1] kweli bado tuna safari ndefu ya uhuru wa fikra na mawazo.
Umeumia wapi kwani?
 
Hizo asilimia zingine huwa za Taa, rangi za lane
Hizo taaa hapo ni mapambo?
Hiyo lane hapo ni uji? Au wana pita juu ya maji?
Rangi ktk michoro hapo hazionekani vyema?
 
Back
Top Bottom