Magari yaruhusiwa daraja la Wami. Ujenzi umekamillika 90%

Magari yaruhusiwa daraja la Wami. Ujenzi umekamillika 90%

Safi sana, kodi za wachaga hizo.
Mkuu Kilimanjaro hata kenye top 5 wanaochangia pato la Taifa haimo.

NumberRegionTanzanian shillingU.S. dollarNations with similar status
TanzaniaTsh 129,364,353/-$169,516/-Slovakia
1Dar es Salaam Region22,577,22529,585Jamaica
2Mwanza12,731,45416,683Mauritania
3Shinyanga7,540,5899,881Maldivi
4Mbeya7,314,3029,584Suriname
5Morogoro6,191,3438,113Burundi
6Tanga6,016,8737,884Guyana
7Arusha5,999,9017,862Guyana
8Kilimanjaro5,754,6777,541Guyana
9Kagera Region4,928,1356,458Lesotho
10Ruvuma4,903,5596,426Lesotho
11Tabora4,715,0656,179Lesotho
12Mara Region4,620,7976,055Lesotho
13Rukwa4,497,2935,893Lesotho
14Manyara Province4,377,7065,736Lesotho
15Dodoma3,872,7275,075Djibouti
16Iringa3,643,0624,774Barbados
17Kigoma3,625,7274,751Barbados
18Mtwara3,552,5064,655Barbados
19Njombe2,685,3373,519Aruba
20Lindi2,529,8773,315Aruba
21Coast Province2,510,7243,290Aruba
22Singida2,418,0913,169Aruba
23Songwe2,357,3833,089Belize
 
... angalau hili wamekumbuka kuweka climbing lane at least inaonekana direction ya Tanga; ujinga wa matrafiki kwenda kutega kwa mbele ili kupiga hela overtakings umekufa kifo cha kawaida.

Walikuwa wanakera sana; mbele kuna lori lina mzigo mzito sana haliendi kwao ni faida! Hope na direction ya Chalinze, climbing lane itakuwepo kupunguza foleni na dhuluma za trafiki.
 
Wewe uvccm ukaogopa kusema top ten kwa makusudi.

Kwa taarifa yako wachaga ndio wanaendesha uchumi kwenye hiyo mikoa ya top ten yote.
 
Wewe uvccm ukaogopa kusema top ten kwa makusudi.

Kwa taarifa yako wachaga ndio wanaendesha uchumi kwenye hiyo mikoa ya top ten yote.
Acha
640px-Common_wildebeest.jpg
 
... angalau hili wamekumbuka kuweka climbing lane at least inaonekana direction ya Tanga; ujinga wa matrafiki kwenda kutega kwa mbele ili kupiga hela overtakings umekufa kifo cha kawaida.

Walikuwa wanakera sana; mbele kuna lori lina mzigo mzito sana haliendi kwao ni faida! Hope na direction ya Chalinze, climbing lane itakuwepo kupunguza foleni na dhuluma za trafiki.
[emoji122][emoji122]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom