Magari yaruhusiwa daraja la Wami. Ujenzi umekamillika 90%

Mbona lipo juu sana tofauti na lile la mkoloni yani ukijichanganya ukatumbukiza gari hapo ndio basi tena
 
Nilipita hapo daraja lipo juu sana tofauti na lile la mkoloni yani ukijichanganya ukatumbukiza gari hapo ndio basi tena
 
Nilipita hapo daraja lipo juu sana tofauti na lile la mkoloni yani ukijichanganya ukatumbukiza gari hapo ndio basi tena
Fafanua, daraja la kisasa then ukijichanganya ndiyo basi tena? una maana ipi ? limekosewa design ama
 
Oooh! ..kumbe kodi zinakusanywa kwa makabila ?! Kabisaa yaani katika vitu vyooote ulivyowaza ukaona Kodi zilizotokana na kabila fulani ndio zimetumika ..heheee [emoji1][emoji1] kweli bado tuna safari ndefu ya uhuru wa fikra na mawazo.
Umeumia wapi kwani?
 
Safi sana, kodi za wachaga hizo.
Yaonekana bado hujui kama kuna makabila mengine Kaskazini. Ubaya wa Wachaga ni ubinafsi. Walipiga kelele sana daraja la Busisi, lakini hili wanaliona ni sawa tu!
 
Hizo asilimia zingine huwa za Taa, rangi za lane
Hizo taaa hapo ni mapambo?
Hiyo lane hapo ni uji? Au wana pita juu ya maji?
Rangi ktk michoro hapo hazionekani vyema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…