Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Yes , halafu biashara kunoga , inabidi watu wengi kufa ili kulipia kodi, hasa wa TRA, LATRA etc.Ni tozo halali ni wajibu wao kulipa, tumelaliwa sanaaaa.Naongea uongo ndugu zangu?
Yes , halafu biashara kunoga , inabidi watu wengi kufa ili kulipia kodi, hasa wa TRA, LATRA etc.Ni tozo halali ni wajibu wao kulipa, tumelaliwa sanaaaa.Naongea uongo ndugu zangu?
Wala usimshambulie mdau, kwani hata wafanye milioni tano!!sawa tu, tatizo la sisi waafrika kunapokuwa na uonevu dhidi ya wananchi watu wakijitokeza na kuukemea , wanaitwa majina mengi, ila linapokukuta ndipo unapiga kelele ila kama halijakugusa unaona sawa tu!!toka mwanzo, LISU alisema sana , kuwa ngoja yakukute ndipo akili itakupata!!mala huko madarasa ni kivumbi watu wanalala nje kukimbia michango!!mi nasema sawa tu acha akili zituingie.Ngoja ufe wewe mkeo/mtot wako/wazazi wako au yeyote atakayekuwa anahusika nammaiti yako abandikwe milioni hiyo
menena vema kabisaWala usimshambulie mdau, kwani hata wafanye milioni tano!!sawa tu, tatizo la sisi waafrika kunapokuwa na uonevu dhidi ya wananchi watu wakijitokeza na kuukemea , wanaitwa majina mengi, ila linapokukuta ndipo unapiga kelele ila kama halijakugusa unaona sawa tu!!toka mwanzo, LISU alisema sana , kuwa ngoja yakukute ndipo akili itakupata!!mala huko madarasa ni kivumbi watu wanalala nje kukimbia michango!!mi nasema sawa tu acha akili zituingie.
Hii itapendeza zaidiItabidi maiti ziwe zinajilipia kwa kweli[emoji23][emoji23]
Magari haya watayapaki au kuyauza nchi jirani. Hakutakuwa na hii huduma tena.Kila siku Serikali kupitia vitengo vyake mbalimbali wanabuni njia za kuongeza mapato...
Sio Mitano tena ni milele kabisa.....Kila siku Serikali kupitia vitengo vyake mbalimbali wanabuni njia za kuongeza mapato...
Haiwezekani Aisee, ikiwa ya trip moja basi inabidi kutafuta hifadhi ughaibuni kama lemaKodi ya mwaka au kodi ya kila safari moja?
na tunavyopenda kukwepa kodi lazma tutakwepa kufa tenaItabidi maiti ziwe zinajilipia kwa kweli[emoji23][emoji23]
wamesema gari zinazo kodishwa kubebea maiti kwa maana hiyo hata kama ukisema ukodi fuso lazma litatozwa hio kodi tuNyie si mnaonesha ufakhari kwenye maziko
acha mnyooshwe kwanza
wamesema gari zinazo kodishwa kubebea maiti kwa maana hiyo ata kama ukisema ukodi fuso lazma litatozwa hio kodi tuNyie si mnaonesha ufakhari kwenye maziko
acha mnyooshwe kwanza