RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Mitano tena!Makusanyo yanafikaje 2 trillion kama hawakabi kila kona? Makusanyo hayo sio kwa ajili ya warundi ni watanzania wenzako. Wacha wakusanye.
Mitano tena!Makusanyo yanafikaje 2 trillion kama hawakabi kila kona? Makusanyo hayo sio kwa ajili ya warundi ni watanzania wenzako. Wacha wakusanye.
ni wapi ilipoelezwa kuwa marehem anatozwa kodi?Maana yake ni kwamba gharama za kusafirisha maiti ziwe juu, kweli hii nchi ya wanyonge hadi marehemu anatozwa kodi....
ni wapi ilipoelezwa kuwa marehem anatozwa kodi?
Umeishia darasa la ngapi? tuanzie hapo kwanza...ni wapi ilipoelezwa kuwa marehem anatozwa kodi?
Mie naongelea makampuni ya burial services. Yatafungwa sababu hawatatengeneza faida tena. HAKUNA MTU ANAFANYA BIASHARA KWA HASARA. Ni mwendo wa kutumia magari binafsi na pick ups tu kwenye mazishi sasa.Hivi hii huduma ilianza kipindi gani eti?
Kodi hupangwa na kwa kuangalia uhalisia wa biashara. Sidhani kama serikali huwa inaleta kodi kuuwa investment / biashara za watu.Mie naongelea makampuni ya burial services. Yatafungwa sababu hawatatengeneza faida tena. HAKUNA MTU ANAFANYA BIASHARA KWA HASARA. Ni mwendo wa kutumia magari binafsi na pick ups tu kwenye mazishi sasa.
Tanzania ni kati ya nchi zenye KODI KUBWA SANA duniani. Watu walikuwa wanaweza enzi hizo sababu zilikuwa hazifuatiliwi kama sasa. Biashara nyingi sana zimeshafungwa teari. Na bado zitaendelea kufungwa nyingi sana tu wasipofanya mabadiliko.Kodi hupangwa na kwa kuangalia uhalisia wa biashara. Sidhani kama serikali huwa inaleta kodi kuuwa investment / biashara za watu.
Umeishia darasa la ngapi? tuanzie hapo kwanza...
I have a master degree on business administration (MBA)Umeishia darasa la ngapi? tuanzie hapo kwanza...
Sijajua Kenya majirani huwa wanafanyaje, Kenya mwezi December 2020 wamekusanya TZS trillion 3.6 na Tanzania tumekusanya TZS 2 trillion mpaka TRA wakajisifu wenzetu ki idadi ni wachache kuliko sisi hiyo 3.6 trillion imekusanywa ndani ya Kenya na hawana rasimili kama tulizo nazo sisi. Ni wapi tunakosea?Tanzania ni kati ya nchi zenye KODI KUBWA SANA duniani. Watu walikuwa wanaweza enzi hizo sababu zilikuwa hazifuatiliwi kama sasa. Biashara nyingi sana zimeshafungwa teari. Na bado zitaendelea kufungwa nyingi sana tu wasipofanya mabadiliko.
GDP ya kenya ni 100 billion USD na ya Tanzania ni 60 billion US$. Kenya ina investors wengi zaidi ya tanzania, na inasifiwa sana internationally in terms of friendly business environment. Pia walianza capitalism zamani wakati tz tuko kwenye ujamaa. NDIO MATATIZO YA UONGOZI WA TZ HUO, WANAJILINGANISHA NA NCHI AMBAZO HAWATAKIWI KUJILINGANISHA NAZO. Wanataka kila kitu kwa mkupuo. Maendeleo hayaendi hivyo, na Matokeo ndio haya tunayoyaona sasa ivi. Watu wanateseka, biashara zinafungwa, na investors wanakimbia MBIOOOO.Sijajua Kenya majirani huwa wanafanyaje, Kenya mwezi December 2020 wamekusanya TZS trillion 3.6 na Tanzania tumekusanya TZS 2 trillion mpaka TRA wakajisifu wenzetu ki idadi ni wachache kuliko sisi hiyo 3.6 trillion imekusanywa ndani ya Kenya na hawana rasimili kama tulizo nazo sisi. Ni wapi tunakosea?
Daah! ama kweli una a master degree on business administration (MBA), ungekuwa na Master degree in business administration ungegundua mara moja kwamba marehemu katozwa kodi.0
I have a master degree on business administration (MBA)
Mmh huyo maiti hadi kutoka hosp hela imekamuliwa balaa bado na kwenye kwenda kupumzishwa napo wanataka kupiga pesa daah. Soon wauza majeneza wana kodi yao