Tanzania ni Tajiri.Ni tozo halali ni wajibu wao kulipa, tumelaliwa sana.Naongea uongo ndugu zangu?
LATRA huwa ni kwa mwaka hawana kodi ya mweziHii mada italeta maana km mwenye thread angedadavua yafuayo.
1. Hio kodi ni kwa trip, mwezi au mwaka?
2. Gharama wanazotoza wenye haya magari haya kwa trip zikoje, na wastani wa trips kwa mwezi upoje?...
Yaani....Mmh huyo maiti hadi kutoka hosp hela imekamuliwa balaa bado na kwenye kwenda kupumzishwa napo wanataka kupiga pesa daah. Soon wauza majeneza wana kodi yao
Kwa maana nyingine Serikali itakuwa ikifurahiya Raia wake kufa ili kuongeza pato la Taifa kupitia magari hayo siyo??Tusidanganye hakuna serikali inayoweza kuendesha nchi bila kukusanya kodi, hata wangeingia CHADEMA / ACT wazalendo / CUF kodi ingekusanywa tu. Kutoka maeneo gani kila biashara iliyohalali ingelipishwa kodi / tozo / ada/.
Kajaribu kujiua UIJUE jamhuri sasa, kwanza ukifa JAMHURI itapata kodi mara moja tu, ukiendelea kuishi ina uhakika wa kupata hiyo kodi kila na kila na kila mwezi na kila mwaka kutoka kwako. Hasara kwa Jamhuri mtu akifa kuliko akiishi.Kwa maana nyingine Serikali itakuwa ikifurahiya Raia wake kufa ili kuongeza pato la Taifa kupitia magari hayo siyo??
Tusidanganye hakuna serikali inayoweza kuendesha nchi bila kukusanya kodi, hata wangeingia CHADEMA / ACT wazalendo / CUF kodi ingekusanywa tu. Kutoka maeneo gani kila biashara iliyohalali ingelipishwa kodi / tozo / ada/.
Ulisikia wapi? CHADEMA wangeingia ingekuwa hakuna kulipa Kodi, kila mtu angepata ajira,kila mtu angekuwa na maisha mazuri sana! Na ungekuwa unaishi vile unavyotaka!Tusidanganye hakuna serikali inayoweza kuendesha nchi bila kukusanya kodi, hata wangeingia CHADEMA / ACT wazalendo / CUF kodi ingekusanywa tu. Kutoka maeneo gani kila biashara iliyohalali ingelipishwa kodi / tozo / ada/.
Commercial vehicle ukitoa malori huwa zina whiteplate number, hizi maziko bado zina yellow numberCommercial vehicles zote ziko subject na kulipiwa kodi , Ndiyo maana huwa zinabandikwa stickers za mapato za TRA.
Sasa jambo hili ni jipya na kinaukakasi ktk kueleweka.
Na Je lengo ni nini hasa?
Kwa sababu miundo mbinu inajengwa na hewa, mishahara inalipwa kwa makaratasi, madeni yanasamehewa. tofautisha siasa na uhalisia. Nchi yetu makusanyo kwa mwezi ni trillion moja bila kubana mbavu. Billion 500 mishahara. Billion 500 nyingine ni kulipa madeni na kuendesha shughuli za serikali. Tusiwe keyboard warriors tu. Tushughulishe vichwa vyetu pia.Ulisikia wapi? CHADEMA wangeingia ingekuwa hakuna kulipa Kodi, kila mtu angepata ajira,kila mtu angekuwa na maisha mazuri sana! Na ungekuwa unaishi vile unavyotaka!
Commercial vehicle ukitoa malori huwa zina whiteplate number, hizi maziko bado zina yellow number View attachment 1680754
Ndio maana kwa sababu nachojua hakuna mamlaka inayolipwa tozo mbili kwa mwaka. Hiyo tozo ni ya kwenda LATRA kama wanavyolipa watu wa mabasi, Bajaj n.kKwa hiyo kabla ya hapo yalikuwa hayalipiwi kodi ya mapato kwa namna moja ama nyingine?
Makusanyo sio tr 2?!Kwa sababu miundo mbinu inajengwa na hewa, mishahara inalipwa kwa makaratasi, madeni yanasamehewa. tofautisha siasa na uhalisia. Nchi yetu makusanyo kwa mwezi ni trillion moja bila kubana mbavu. Billion 500 mishahara. Billion 500 nyingine ni kulipa madeni na kuendesha shughuli za serikali. Tusiwe keyboard warriors tu. Tushughulishe vichwa vyetu pia.
Makusanyo yanafikaje 2 trillion kama hawakabi kila kona? Makusanyo hayo sio kwa ajili ya warundi ni watanzania wenzako. Wacha wakusanye. Kwenye suala la ukusanyaji nita support serikali, mimi pia nalipa kodi na mkopo wa HESLB ninalipa pia, ni nchi yangu. Nchi itajengwa na watanzania wenyewe kwa jasho na damu. πΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ πΉπΏMakusanyo sio tr 2?!