Magari yote ya kubeba maiti yatakiwa kulipa Tsh milioni

Upo shihi mkuu maiti ni chanzo cha mapato cha serekali au na uongo ndugu zangu??
Serekali inatoza kodi maiti?????
Inatozwa maiti au mfanyabiashara wa usafirishaji? Maiti isipolipa kodi serikali itaifanya nini maiti?
 
Kila kitu kitozwe kodi, hata ukikutwa tu mjini unazurura upigwe kodi ya uzururaji.
 
Kila kitu kitozwe kodi, hata ukikutwa tu mjini unazurura upigwe kodi ya uzururaji.
Anayetozwa ni mfanyabiashara anaingiza faida kupitia biashara. Biashara iitwe biashara halali ni lazima ilipe kodi / tozo stahili
 
Hawa wajinga Sana hawana window period ya kumuacha mfanyabiashara amature ili aje alipe kodi stahiki yani ukifungua biashara mwaka huu mwakani unarungu kubwa la kodi ilihali wew wenyew unajitafuta wanadhani biashara ni rahisi kiasi hiko ndio maana watu wanalipa kwa shingo upande huku wakiwaza kufanya magendo yani ukilipia kodi [emoji817]% Tz haki anani hutoboi unayakusanyia tu masela
 
Dawa yao ni moja. Traffic akinisimamisha na gari la maiti ya ndugu, tunashusha jeneza tunawaambia haya mzigo huo hapo mtauleta msibani sisi hatuna kodi. Watakurudishia mwili. TRA msitake kutupanda vichwani. Nyie mmekaa kwenye viti vya kuzunguka kwa kazi mlizopewa na baba zenu au kwa kufunua sketi hamjui ugumu wa biashara hata kidogo!! Ilibidi na nyie muwe na biashara msingekua mnapandisha kodi hivi. Mmeona fursa hadi kwenye vifo?? Pumbaaavu hii nchi ipo siku dawa itapatikana
 


Sizani kama ni TRA,

Msiwachukie TRA bure sizani kama wanahusika na hilo.

Hao ni LATRA

Wakala wa usafiri wa ardhi.

Kwa kweli inasikitisha hili swala halijaeleweka kabisa na sijui kama litaeleweka.
 
Sizani kama ni TRA,

Msiwachukie TRA bure sizani kama wanahusika na hilo.

Hao ni LATRA

Wakala wa usafiri wa ardhi.

Kwa kweli inasikitisha hili swala halijaeleweka kabisa na sijui kama litaeleweka.
Hata wangekua ni wa mamlaka ya anga. Ni upuuzi
 
Ni tozo halali ni wajibu wao kulipa, tumelaliwa sanaaaa.Naongea uongo ndugu zangu?
WAMILIKI wa hayo magari haawana kwani hiyo Kodi mpya wataikamua kutoka kwa ndugu wa marehemu.
Kama ujuavyo Bei ya mafuta ya kupikia anayeumia Ni wewe mlaji.
Wange weka hata milioni tano, ingelipwa tuh.
 
WAMILIKI wa hayo magari haawana kwani hiyo Kodi mpya wataikamua kutoka kwa ndugu wa marehemu.
Kama ujuavyo Bei ya mafuta ya kupikia anayeumia Ni wewe mlaji.
Wange weka hata milioni tano, ingelipwa tuh.
Kama biashara zote zinatakiwa kuipia kodi kwa nini hiyo ipate msamaaha? au hawatengenezi faida?
 
Tutabeba marehemu kwenye boda au bajaji
 
HUo ni uchok.

Mtu akifa watu wanahangaika kujichanga laki nane ili waweze kusafirisha sasa hio 1mil ya wapi?
Anyway. Tano tena
Siyo kwenu wafiwa ndg mtanzania, hiyo wanalipa wenye makampuni ya magari ya kukodi kusafirisha maiti.
 
β„Žπ‘Žπ‘¦π‘Ž π‘€π‘Žπ‘šπ‘’π‘ β„Žπ‘Žπ‘ π‘’π‘šπ‘Ž π‘€π‘Žπ‘œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…