Magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania

Nunua Toka UK

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2023
Posts
265
Reaction score
540
TBS wamesema magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania.

Hivyo TBS wamewapa tenda Quality’s Inspection Service Japan(QISJ) kukagua magari yanayotoka Muungano Wa Falme Za Kiarabu(UAE) na EAA Company Limited kukagua nchini Uingereza(UK).

Lakini The Citizen waliandika 2022 kwamba kampuni ya EAA imekuwa blacklisted Kenya mwaka 2021 baada ya kuomba tenda na kugundulika ilifanya udanganyifu.
Nanukuu The Citizen “The public procurement laws in Tanzania stipulate that if a company is banned and barred from doing business with another nation or with an international company it cannot participate or do business with the government of Tanzania”.

Maswali:
Kampuni ya EAA ilishafunguliwa Kenya na kusafishwa tuhuma walizokutwa nazo?

Au sheria za zetu za Puplic Procurement zilibadillishwa inayosema kampuni ikiwa imefungiwa nchi nyingine haitakiwi kupewa tenda Tanzania kwa muda wa miaka 5?

Source: Millard Ayo na The Citizen.


 
Declare interest.
Mkuu,
Mimi ninafanya biashara ya malori na heavy equipment kutoka UK kama side hustle na hata kama ningejua TBS wanataka kutoa tenda ningesoma tu, sasa hivi nimebanwa na shughuli nyingine!

Ninaitakia nchi yangu na Watanzania wenzangu mema. Hii ya magari kukaguliwa kabla ya kusafirishwa Tanzania ni jambo zuri.
Lakini inatakiwa kampuni inayokidhi viwango vyote. Kama kampuni ya EAA walifutiwa yale makosa yao Kenya ni sawa tu.
 
Mzee Huko UK nikitaka Scania Tractor Standard inabidi niandee Dollar ngapi?
 
Maama kuna mtu namjua kanunua discovery 3 inetoka UK ,plate number #E kila siku mafundi wanalifungua
Mara engen,mara chini huko [emoji1]

Ova
Itakuwa kanunua kwa yule mnyalu mpiga kelele Chris Lukosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…