Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Jamani turejee. Kama utafatilia Sana hata queen family wanavaa magauni. Tuachane na vijinz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sweetieMagauni ya sasa si ndiyo mnaita Madela/Madera?
Embu tukuone ukiwa ndani ya kigauni?Jamani turejee
Uzuri wa gauni hata mkitaka kufanya mechi ya kushtukiza unaipandisha tu mara shwaaapHapa sahii nimevaa kigauni,, teh teh
Kwanza umemaanisha hivi hivi inavyosomeka au?
We mzee 😂😂Uzuri wa gauni hata mkitaka kufanya mechi ya kushtukiza unaipandisha tu mara shwaaap
Utamaduni wako upi?? Utamaduni wako au utamaduni wetu Afrika ni kuvaa shanga na kibwebwe that was the best traditional life style...Jamani turejee. Kama utafatilia Sana hata queen family wanavaa magauni. Tuachane na vijinz
Sio vijeans vyenu ukitaka kula tunda kimasihara kulivua mpaka mvuane, mvuliwa kalala kitandani, mvuaji kasimama anavuta jinsi utadhani mchezo wa kuvuta kamba...We mzee 😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23]Sio vijeans vyenu ukitaka kula tuna kimasihara kulivua mpaka mvuane, mvuliwa kalala kitandani, mvuaji kasimama anavuta jinsi utadhani mchezo wa kuvuta kamba...
Kwa asili ya Mwafrika alikua anavaa shanga kiunoni tu, hamna chupi, sidiria Wala gauniJamani turejee. Kama utafatilia Sana hata queen family wanavaa magauni. Tuachane na vijinz
Mbona una ujuzi hivyo? Kulikoni?Sio vijeans vyenu ukitaka kula tuna kimasihara kulivua mpaka mvuane, mvuliwa kalala kitandani, mvuaji kasimama anavuta jinsi utadhani mchezo wa kuvuta kamba...
Umesahau ile siku tulivyopata shida?Mbona una ujuzi hivyo? Kulikoni?
Comment hii bila picha ni batili 🤣🤣🤣Hapa sahii nimevaa kigauni, teh teh
Kwanza umemaanisha hivi hivi inavyosomeka au?
Haa Kweli Mkuu Eti Wanapunga HewaMagauni ya sasa si ndiyo mnaita Madela/Madera?
Em tuone 😂Na mi leo nimevaa zangu gauni😅