Magauni ni nguo ya kike ina heshima sana. Turejee utamaduni wetu

Magauni ni nguo ya kike ina heshima sana. Turejee utamaduni wetu

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
850
Reaction score
2,019
Jamani turejee. Kama utafatilia Sana hata queen family wanavaa magauni. Tuachane na vijinz.

70c25488237862e9574c438f157f56c2.jpg

Sio vijeans vyenu ukitaka kula tuna kimasihara kulivua mpaka mvuane, mvuliwa kalala kitandani, mvuaji kasimama anavuta jinsi utadhani mchezo wa kuvuta kamba...
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio vijeans vyenu ukitaka kula tuna kimasihara kulivua mpaka mvuane, mvuliwa kalala kitandani, mvuaji kasimama anavuta jinsi utadhani mchezo wa kuvuta kamba...
Mbona una ujuzi hivyo? Kulikoni?
 
Kama reference yako ni familia ya Malkia kuna picha ya Princess Anne enzi akiwa binti kavaa shati na jinsi, huko Scotland hadi leo kuna wanaume wanavaa sketi, to each their own mie naona tusipangiane tu
 
Kanzu ikivaliwa na mwanaume
Dela ikivaliwa na mwanamke

Ni nguo inayobadilika majina kulingana na mvaaji ni jinsia gani

Kuna ambazo zina baki na majina yake bensi nyanya, bukta, suruali, tshirts kwa aina zake nk
 
Back
Top Bottom