Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaratibu mpya shehe.Kuna mtu alionya huyu jamaa kuachiwa nchi. Haya karudia yale yaleee ya march 11 2021. Makamu anaenda nje ya nchi kwenye ziara ya kiserikali kimya kimya bila hata ofisi yake kutoa taarifa?
Kuna mtu alionya huyu jamaa kuachiwa nchi. Haya karudia yale yaleee ya march 11 2021. Makamu anaenda nje ya nchi kwenye ziara ya kiserikali kimya kimya bila hata ofisi yake kutoa taarifa?
Majaliwa kashaanza uongo wake kama alivyotupanga kwa JPM!Kipindi cha RFA Magazeti asubuhi kimemnukuu Waziri Mkuu akisema ya kwamba Makamu wa Rais yupo ziarani nje ya nchi.
Tatizo ni huyo mtoa taarifa,haaminiki tena,alitudanganya kipindi kile tena akiwa Msikitini.Kipindi cha RFA Magazeti asubuhi kimemnukuu Waziri Mkuu akisema ya kwamba Makamu wa Rais yupo ziarani nje ya nchi.
Sio kweli,Uchochezi ni kusema yale ambayo viongozi hawapendi kuyasikia,Uchochezi ni kumshawishi mtu kufanya fujo na kuhatarisha amani.
Kwani wana lazima wajibu kila kitu wakati utaongea!Kipindi cha RFA Magazeti asubuhi kimemnukuu Waziri Mkuu akisema ya kwamba Makamu wa Rais yupo ziarani nje ya nchi.