Magazeti RFA: Makamu yupo ziarani nje ya nchi

Magazeti RFA: Makamu yupo ziarani nje ya nchi

Majaliwa bora hata asingesema chochote.
Hapo ndo ametushtua wengi tujue wanachokihisi watu ni ukweli mtupu
 
Kuna mtu alionya huyu jamaa kuachiwa nchi. Haya karudia yale yaleee ya march 11 2021. Makamu anaenda nje ya nchi kwenye ziara ya kiserikali kimya kimya bila hata ofisi yake kutoa taarifa?
Hakafu ni ziara gani ya zaidi ya mwezi
 
Kipindi cha RFA Magazeti asubuhi kimemnukuu Waziri Mkuu akisema ya kwamba Makamu wa Rais yupo ziarani nje ya nchi.View attachment 2832087
Taarifa hiyo bora ingetolewa na mtu mwingine lakini siyo huyu Waziri Mkuu tuliyenaye hivi sasa, kwa sababu haaminiki kabisa.
Kipindi kile enzi za Mwendazake naye alikuja na ngonjera zake kama hizi hizi, alitudanganya kwamba Magufuli yuko mzima na buheri wa afya, kumbe ilikuwa ni uongo. Haaminiki kabisa mtu huyu! Alisema uongo mkubwa, tena akiwa msikitini.
 
Kwa mfumo was katiba ulivyo hivyo,Bas itabidi nyundo igonge namba mbili,halafu ateuliwe namba mbili mpya!ambaye huyo namba mbili akae,halafu nyundo igonge namba Moja baada ya hapo Rasmi namba mbili anakua moja!!!

Interesting!
Ndo yup huyoo wakuwa 1
 
Back
Top Bottom