Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Msikitini imekatazwa kudanganya?Tatizo ni huyo mtoa taarifa,haaminiki tena,alitudanganya kipindi kile tena akiwa Msikitini.
Yaleyale ya Magufuli yuko ikulu anachapa kazi, mlitaka mmuone Katiakoo?Kipindi cha RFA Magazeti asubuhi kimemnukuu Waziri Mkuu akisema ya kwamba Makamu wa Rais yupo ziarani nje ya nchi.
Mteja wako anaporudia makosa ndiyo neema kwako wakili, ukichoka umeshiba pesa.Majaliwa tunamuheshimu sana ila kurudia makosa yale yale kila siku, anatupa kazi kumtetea.
Unafurahishwa na lipi hapo?! Au ni kile kibuli cha uzima!?,kwa upumbavu wako wewe ulionao kichwani mwako,hata siku mama yako ana kufa utashangilia.Arudishwe apelekwe mzena safari ikamalizwe pale
Hahaha nimecheka sana ulivyopanic na ndio furaha yangu half caste wa bata mzinga na kwale weweUnafurahishwa na lipi hapo?! Au ni kile kibuli cha uzima!?,kwa upumbavu wako wewe ulionao kichwani mwako,hata siku mama yako ana kufa utashangilia.
Kuna mtu alionya huyu jamaa kuachiwa nchi. Haya karudia yale yaleee ya march 11 2021. Makamu anaenda nje ya nchi kwenye ziara ya kiserikali kimya kimya bila hata ofisi yake kutoa taarifa?
Sasa unataka afanyaje?Majaliwa tunamuheshimu sana ila kurudia makosa yale yale kila siku, anatupa kazi kumtetea.
Kuna mtu alionya huyu jamaa kuachiwa nchi. Haya karudia yale yaleee ya march 11 2021. Makamu anaenda nje ya nchi kwenye ziara ya kiserikali kimya kimya bila hata ofisi yake kutoa taarifa?
Tuseme anaumwa kama mwanadamu wengine neno mahututi ondoa, nidhaniavyo and not proven.Makamu anaumwa maututi nchini Marekani. PM anarudia aliyoyasema kwa Jiwe.
Katiba ilisharekebishwatangia lini waziri mkuu akaachiwa nchi? kwenye chain ya power sidhani kama anamzidi spika …
Shule ulidanganywa sanatangia lini waziri mkuu akaachiwa nchi? kwenye chain ya power sidhani kama anamzidi spika …
Jamaa alikua amemaanisha PM for presid.....tangia lini waziri mkuu akaachiwa nchi? kwenye chain ya power sidhani kama anamzidi spika …