Majaliwa alizaliwa muongo muongo au uongo alijifunza ukubwani?Kipindi cha RFA Magazeti asubuhi kimemnukuu Waziri Mkuu akisema ya kwamba Makamu wa Rais yupo ziarani nje ya nchi.View attachment 2832087
Ni asili yake ...Ndio maana hata ranginya nywele anadanganyq!Majaliwa alizaliwa muongo muongo au uongo alijifunza ukubwani?
"Rais ni mzima na anachapa kazi, wanataka atoke aende wapi kariakoo"?hatujasahauKipindi cha RFA Magazeti asubuhi kimemnukuu Waziri Mkuu akisema ya kwamba Makamu wa Rais yupo ziarani nje ya nchi.View attachment 2832087
Hakafu ni ziara gani ya zaidi ya mweziKuna mtu alionya huyu jamaa kuachiwa nchi. Haya karudia yale yaleee ya march 11 2021. Makamu anaenda nje ya nchi kwenye ziara ya kiserikali kimya kimya bila hata ofisi yake kutoa taarifa?
Taarifa hiyo bora ingetolewa na mtu mwingine lakini siyo huyu Waziri Mkuu tuliyenaye hivi sasa, kwa sababu haaminiki kabisa.Kipindi cha RFA Magazeti asubuhi kimemnukuu Waziri Mkuu akisema ya kwamba Makamu wa Rais yupo ziarani nje ya nchi.View attachment 2832087
Ikitokea ni uongo tufanyeje? Tijadiri hapaKipindi cha RFA Magazeti asubuhi kimemnukuu Waziri Mkuu akisema ya kwamba Makamu wa Rais yupo ziarani nje ya nchi.View attachment 2832087
Tukuulize wewe Mzee! Kaka Yako Yuko wapi! ?
Ndo yup huyoo wakuwa 1Kwa mfumo was katiba ulivyo hivyo,Bas itabidi nyundo igonge namba mbili,halafu ateuliwe namba mbili mpya!ambaye huyo namba mbili akae,halafu nyundo igonge namba Moja baada ya hapo Rasmi namba mbili anakua moja!!!
Interesting!
Hapa nangojea taarifa ya waziri mkuu tu ndio nitaaminiKipindi cha RFA Magazeti asubuhi kimemnukuu Waziri Mkuu akisema ya kwamba Makamu wa Rais yupo ziarani nje ya nchi.View attachment 2832087
Sasa kiongozi kama wewe ,nyoka Chawa hujui sisi wengine tusemeje?!Yaani hakuna mwenye ufahamu - tuambiwe aliko na hali yake
Mimi kiongozi gani?Sasa kiongozi kama wewe ,nyoka Chawa hujui sisi wengine tusemeje?!