MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Tafadhali Wahariri wa Magazeti ya HabariLeo na UHURU ( ambao najua mpo hapa JamiiForums ) hebu tuwekeeni hapa Sauti ya Rais Samia ya jana ( Mei Mosi ) akisema kuwa amepandisha rasmi Mishahara kama ambavyo mmeripoti ( mmeandika ) leo katika Vichwa vyenu vya Habari.
Kwa Upuuzi na Ujuha ( Uzuzu ) wenu huu wa kuwa Waongo na Watu wa Kujipendekeza pasipokutumia Akili sishangai ndiyo maana 98% ya Waandishi wa Habari wa Tanzania Wanadharaulika sana na mno si tu nchi jirani na Afrika bali hata duniani kote na mtaendelea n mnastahili Kudharaulika.