BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi, Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA"
Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga.
Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa kichwani mpaka vinakosa angle ya habari?
Waandishi mtategemea ruzuku na bahasha za Serikali mpaka lini?!
Ishu za Haki za Mtu ziheshimiwe,ndio maana hata Mwandishi wenu Azory alivyo potezwa bado mkawa mnaleta mizaha.ni wakati wa kutoka kwenye boksi, hamjachelewa.