Magazeti ya leo Februari 15, 2022 yanatia kichefuchefu kuhusu Mbowe

Umeitafsiri hivyo kwa sababu umependa iwe hivyo. Kwangu mie ninaona ina positive impact kuwa wanaonewa hadi wananyimwa chakula! So Mwananchi title yake ipo poa sana kwa kilichojiri jana Mahakamani
Heading does not reflect the context of what Mbowe lamented! There is a big msg behind Mbowe's claim. That should have been reflected in the heading.
 
Kwa maana hio ni wamemkebehi?. Ila magazeti wamefanya kipande chao wana harakati wa HR wafanye cha kwao sasa. Mtego ni wakifanya wataonekana wameungana na CDM kumtetea mheshimiwa. (Patamu hapo!)
 
Niliposikia Freeman Mbowe na wenzake wananyimwa chakula na maji mahakamani nikakumbuka Universal Declararion of Human Rights na mkataba kuhusu utesaji yaani Convention against Torture and Other Cruel, Inhuman, Degrading Treatment or Punishment
Inawahusu hadi mahabusu [emoji1427]

ZINGATIA: Tanzania haijasaini huu mkataba wa kimataifa kuhusu utesaji (swipe) ndo muelewe utawala wa miaka 60 wa chama kimoja ilipotufikisha!
#MboweSioGaidi #TutaelewanaTu #ChangeTanzania
 
Hii ndio aina ya watanzania wengi hasa wale infiltrates waliojazwa kwenye hivyo vinavyoitwa vijigazeti
Kuna kitu nilidhani hakiwezekani lakini sasa nina zaidi ya miezi saba na najihisi furaha pamoja na kupunguza stresses kwa kiwango kikubwa sana baada ya kuobstain hawa watu.
Siangalii habari kwenye tv, sisomi/kununua magazeti kwa ajili ya habari, sisikilizi vipindi vya radio labda ikitokea tu. Mwanzoni nilidhani haiwezekani lakini huwezi amini maisha yanasonga.
 
Hata mimi siku hizi sifuatilii habari za kwenye tv stations za humu ndani wala kusoma magazeti bali husoma mitandaoni kujua kinachoendelea nchini na sio kufuatilia hizi media zetu.
 
Kuna kitu nilidhani hakiwezekani lakini sasa nina zaidi ya miezi saba na najihisi furaha pamoja na kupunguza stresses kwa kiwango kikubwa sana baada ya kuobstain hawa watu.
Siangalii habari kwenye tv, sisomi/kununua magazeti kwa ajili ya habari, sisikilizi vipindi vya radio labda ikitokea tu. Mwanzoni nilidhani haiwezekani lakini huwezi amini maisha yanasonga.
Ubarikiwe sana. Umejiepusha na sumu nyingi mwilini.
 
Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi,Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA"

Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga.

Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa kichwani mpaka vinakosa angle ya habari?
Waandishi mtategemea ruzuku na bahasha za Serikali mpaka lini?!

Ishu za Haki za Mtu ziheshimiwe,ndio maana hata Mwandishi wenu Azory alivyo potezwa bado mkawa mnaleta mizaha.ni wakati wa kutoka kwenye boksi, hamjachelewa.
Ndo hayo hayo yanayoandika heading mbaya kwa serikali na mnagongesha glass.

Muosha....
 
Niliposikia Freeman Mbowe na wenzake wananyimwa chakula na maji mahakamani nikakumbuka Universal Declararion of Human Rights na mkataba kuhusu utesaji yaani Convention against Torture and Other Cruel, Inhuman, Degrading Treatment or Punishment
Inawahusu hadi mahabusu [emoji1427]

ZINGATIA: Tanzania haijasaini huu mkataba wa kimataifa kuhusu utesaji (swipe) ndo muelewe utawala wa miaka 60 wa chama kimoja ilipotufikisha!
#MboweSioGaidi #TutaelewanaTu #ChangeTanzania
Mbowe sio Gaidi
 
Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi,Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA"

Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga.

Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa kichwani mpaka vinakosa angle ya habari?
Waandishi mtategemea ruzuku na bahasha za Serikali mpaka lini?!

Ishu za Haki za Mtu ziheshimiwe,ndio maana hata Mwandishi wenu Azory alivyo potezwa bado mkawa mnaleta mizaha.ni wakati wa kutoka kwenye boksi, hamjachelewa.
Kuna mtu mahali kasema hivi, "nchi hii bila kuja kuchapana kidogo, hatutakuja kuheshimiana kamwe!"

Namuunga mkono!
Ilitakiwa kuandikwa Mbowe anyimwa chakula.

Na hii yote ni mchanaganyiko wa uoga wa kuzuzu na kujipendekeza kitaahira.
 
Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi,Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA"

Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga.

Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa kichwani mpaka vinakosa angle ya habari?
Waandishi mtategemea ruzuku na bahasha za Serikali mpaka lini?!

Ishu za Haki za Mtu ziheshimiwe,ndio maana hata Mwandishi wenu Azory alivyo potezwa bado mkawa mnaleta mizaha.ni wakati wa kutoka kwenye boksi, hamjachelewa.
Nilitaka kuja na andiko kama lako uzuri umeniwahi Acha nichangie kwako.
"MBOWE ALIA NJAA" ni sentensi inayoonesha Mbowe amekosa chakula kutokana na kukosa uwezo kiuchumi wa kukipata. Wafanyakazi wanàpokosa kulipwa mshahara miezi 2 au 3 wanapolalamika tunasema wanalia njaa maana wamekosa uwezo wa kulisha familia zào. Lakini Kwa hili la Mbowe ni tofauti, nimesoma gazeti jingine limeandika "MBOWE ALALAMIKA KUTOPEWA CHAKULA MCHANA KWA MIEZI 5" angalau inaleta maana. Lakini lingine limepotosha zaidi Kwa kuandika "MBOWE AKOSA CHAKULA MIEZI 5" na nimeona hata baadhi ya watu mitandaoni Wenye milengo ya ovyo àmbao hawana kawaida ya kutafuta undani wa habari wameanza kumtukana Mbowe wakimwita mpuuzi na mzushi eti binadamu anawezaje kuishi miezi 5 bila kula? Waandishi na wahariri mna nafasi kubwa ya kuielekeza Jamii au kuipotosha. Kwa hili sehemu kubwa mmepotosha watu na kuwapa nafasi wasiojiweza kifikra kutukana watu bila sababu.
 
Kwa kifupi, wahariri wamejaa woga na Mwendazake ndio katufikisha hapa.
 
Nadhani hiyo ni mbinu ya kufanya biashara ya magazeti! Ukiandika headings kama hizo kwenye front page zinavuta hisia za watu na kuwafanya wanunue magazeti ili kujua kichomo.
Lazima ufahamu Mbowe ni mtu potential katika jamii yetu hasa ukizingantia bado wananchi wana mapenzi naye,cho chote kinachofanyika juu yake watataka wajue.
 
Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi, Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA"

Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga.

Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa kichwani mpaka vinakosa angle ya habari?

Waandishi mtategemea ruzuku na bahasha za Serikali mpaka lini?!

Ishu za Haki za Mtu ziheshimiwe,ndio maana hata Mwandishi wenu Azory alivyo potezwa bado mkawa mnaleta mizaha.ni wakati wa kutoka kwenye boksi, hamjachelewa.

Hicho ndicho kichwa cha habari walichopewa na CCM kuandika.
 
Kwa kutumia macho [eye test], Mbowe hana muonekano wa mtu ambaye hapati chakula!

Hivyo, kusema analia njaa ni kupotosha kwa makusudi.
Hata bila kutumia eye test,the fact kwamba ameleta hiyo concern ndiyo jambo la msingi,HAKI YA KUPATA MLO WA MCHANA KWA MAHABUSU WANAOHUDHURIA MAHAKAMANI.Hilo gazeti halikupaswa kutumia maneno hayo.Ninachokiona hapo ni kujipendekeza ili ionekane wao wako upande wa serikali.
 
The Chairman of the main opposition party (CHADEMA) in Tanzania, Freeman Mbowe who is in detention and facing terrorism charges, has complained in the court that he and his associates have for 5 months been going hungry as they have been denied their rights of eating! As advising bishop to Freeman Mbowe, we see this as a total violation of human rights. We are therefore hereby calling for the international community to put more pressure on Tanzania so that she can repeal and get rid of its laws which violate human rights! More importantly, the Tanzanian government should be pressurized to yield to the people's demand of the need to write the new constitution and put in place an independent electoral body!

Nimeipenda hii toka kwa Bishop Mwamakula.very analytical kuliko waandishi wetu!
 
Kwa kutumia macho [eye test], Mbowe hana muonekano wa mtu ambaye hapati chakula!

Hivyo, kusema analia njaa ni kupotosha kwa makusudi.
Vipi kuhusu makomandoo? Kwa eye test.
 
Back
Top Bottom