Magazeti ya leo Februari 15, 2022 yanatia kichefuchefu kuhusu Mbowe

Magazeti ya leo Februari 15, 2022 yanatia kichefuchefu kuhusu Mbowe

Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi, Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA"

Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga.

Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa kichwani mpaka vinakosa angle ya habari?

Waandishi mtategemea ruzuku na bahasha za Serikali mpaka lini?!

Ishu za Haki za Mtu ziheshimiwe,ndio maana hata Mwandishi wenu Azory alivyo potezwa bado mkawa mnaleta mizaha.ni wakati wa kutoka kwenye boksi, hamjachelewa.

Wahariri wenyewe wanayo njaa kuzidi ya mbowe
 
Vichwa vya habari hivyo unataka waandike vipi?

A0E7D9BD-7B29-4BD5-B680-BC60C60512A2.jpeg
 
sidhani kama hapo jibu litapatikana, ukizingatia ni maagizo kutoka juu. Haitokei kwa bahati mbaya au kwamba wamesahau
 
Hivi inakuwaje tunarushiwa picha za watu wanakata keki, wanagawana maji, wana "enjoy" mihogo, kumbe wanayempigania hata maji ya kunywa hana😅😅
 
Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi, Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA"

Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga.

Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa kichwani mpaka vinakosa angle ya habari?

Waandishi mtategemea ruzuku na bahasha za Serikali mpaka lini?!

Ishu za Haki za Mtu ziheshimiwe,ndio maana hata Mwandishi wenu Azory alivyo potezwa bado mkawa mnaleta mizaha.ni wakati wa kutoka kwenye boksi, hamjachelewa.

Ndiyo kulia njaa huko, wewe ulitaka yaandikaje bwana! Hakuna kichefuchefu hapo, ndiyo ukweli wa mambo! Ukiona yanatia kichefuchefu yanunue yote na kuyaficha ili yasionekane mtaani! Lakini sisi tumeshayasoma tayari.
 
Kwa kutumia macho [eye test], Mbowe hana muonekano wa mtu ambaye hapati chakula!

Hivyo, kusema analia njaa ni kupotosha kwa makusudi.
Kwa hiyo ipi ni ipi?Kwa sababu aliyelalamika kutopewa chakula ni Mbowe. (Eye test) yako inaonyesha hana muonekano wa mtu ambaye hapati chakula Kwa hiyo kuna mtu au watu wanasema uongo.
Kuna picha zinaonyesha Mbowe amebeba chupa ya maji.Kwenye madai yake anadai hawapewi chakula cha mchana na maji.
 
Niliposikia Freeman Mbowe na wenzake wananyimwa chakula na maji mahakamani nikakumbuka Universal Declararion of Human Rights na mkataba kuhusu utesaji yaani Convention against Torture and Other Cruel, Inhuman, Degrading Treatment or Punishment
Inawahusu hadi mahabusu [emoji1427]

ZINGATIA: Tanzania haijasaini huu mkataba wa kimataifa kuhusu utesaji (swipe) ndo muelewe utawala wa miaka 60 wa chama kimoja ilipotufikisha!
#MboweSioGaidi #TutaelewanaTu #ChangeTanzania
Sasa Mkuu mbona umejijibu kuwa hatuja ratify hii conv, then umetoa lawama badala ya way forward. Anyway inaweza kutumika sura ya 3 ya katiba.
 
Kwa kutumia macho [eye test], Mbowe hana muonekano wa mtu ambaye hapati chakula!

Hivyo, kusema analia njaa ni kupotosha kwa makusudi.
Kabla ya kuchagua hiyo heading wangejiuliza tafsiri ya wasomaji itakuwaje. Connotatively kulia njaa kuna maana pana sana na hii ina negative impact kwa mhusika ni kama kusema anaipata, anakoma ubishi, maisha hayendi vizuri na wabaya wake watasema mwache akome..
 
Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi, Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA"

Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga.

Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa kichwani mpaka vinakosa angle ya habari?

Waandishi mtategemea ruzuku na bahasha za Serikali mpaka lini?!

Ishu za Haki za Mtu ziheshimiwe,ndio maana hata Mwandishi wenu Azory alivyo potezwa bado mkawa mnaleta mizaha.ni wakati wa kutoka kwenye boksi, hamjachelewa.

Siamini kama Gazeti la Raia Mwema linaweza kuwa na heading za ajabu namna hii. unless ni gazeti la kupikwa
 
Waandishi wa nchi hii nimewadharau sana. Uzuri kuna mitandao siku hizi hivyo watu hawategemei sana habari zao kama zamani.

Wahariri wanawaza uteuzi tu.

Siku hizi nikisikia kuna gazeti sijui limefungiwa, wala siumizi kichwa na ninaona sawa tu.

Why should I sympathize with traitors?
Si mnasema uhuru wenu wa habari umerudi na mnapumua?
 
Back
Top Bottom