[emoji871]Kama ni hivyo kwa nini amelia njaa?Kwa kutumia macho [eye test], Mbowe hana muonekano wa mtu ambaye hapati chakula!
Hivyo, kusema analia njaa ni kupotosha kwa makusudi.
[emoji871][emoji95]Tena ni kipeperushi cha mbunge wenu Chadema Saed KubeneaWaapuzi Sana,utafikiri wamepewa heading na idara ya Habari Maelezo!View attachment 2119866
Ipo kwenye HAKI za Binadamu za kuishi.walipaswa walipe uzito kama haki ya mtu ya Msingi,kulia njaa hata mtaani tunalia njaa katika Mazingira mbalimbali,hata ukipata hela kidogo,ulitegemea zaidi,utasema unalia njaa.lakini ishu ya mtu kunyimwa chakula,maji sio kulia njaa.Mkuu wangeandikaje labda ?
Hatujasoma shule moja,sishangai lakini swala la mtu kunyimwa Kula na kunywa sio kulia njaa.ni serious issue especially linapofanywa kwa miezi mitano!Umeitafsiri hivyo kwa sababu umependa iwe hivyo. Kwangu mie ninaona ina positive impact kuwa wanaonewa hadi wananyimwa chakula! So Mwananchi title yake ipo poa sana kwa kilichojiri jana Mahakamani
Hii nchi ni hakuna penye nafuu mkuu kila kona kumejaa makanjanja tupuNimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi,Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA"
Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga.
Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa kichwani mpaka vinakosa angle ya habari?
Waandishi mtategemea ruzuku na bahasha za Serikali mpaka lini?!
Ishu za Haki za Mtu ziheshimiwe,ndio maana hata Mwandishi wenu Azory alivyo potezwa bado mkawa mnaleta mizaha.ni wakati wa kutoka kwenye boksi, hamjachelewa.
hata ikifanywa kwa siku 1 ni hatari snHatujasoma shule moja,sishangai lakini swala la mtu kunyimwa Kula na kunywa sio kulia njaa.ni serious issue especially linapofanywa kwa miezi mitano!
[emoji871][emoji95]Tena ni kipeperushi cha mbunge wenu Chadema Saed Kubenea
Uko sahihi. Heading waliotumia inapoteza uzito wa kitendo chenyewe na mtu hawezi kuelewa unyama unaofanyika mpaka asome vichwa vidogo vya habari jambo ambalo sio wote hulifanya.Hatujasoma shule moja,sishangai lakini swala la mtu kunyimwa Kula na kunywa sio kulia njaa.ni serious issue especially linapofanywa kwa miezi mitano!
Wangeandika pumbavu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Mkuu wangeandikaje labda ?
Hii ndio aina ya watanzania wengi hasa wale infiltrates waliojazwa kwenye hivyo vinavyoitwa vijigazetiHatujasoma shule moja,sishangai lakini swala la mtu kunyimwa Kula na kunywa sio kulia njaa.ni serious issue especially linapofanywa kwa miezi mitano!