Heading does not reflect the context of what Mbowe lamented! There is a big msg behind Mbowe's claim. That should have been reflected in the heading.Umeitafsiri hivyo kwa sababu umependa iwe hivyo. Kwangu mie ninaona ina positive impact kuwa wanaonewa hadi wananyimwa chakula! So Mwananchi title yake ipo poa sana kwa kilichojiri jana Mahakamani
Niliposikia Freeman Mbowe na wenzake wananyimwa chakula na maji mahakamani nikakumbuka Universal Declararion of Human Rights na mkataba kuhusu utesaji yaani Convention against Torture and Other Cruel, Inhuman, Degrading Treatment or PunishmentKwa maana hio ni wamemkebehi?. Ila magazeti wamefanya kipande chao wana harakati wa HR wafanye cha kwao sasa. Mtego ni wakifanya wataonekana wameungana na CDM kumtetea mheshimiwa. (Patamu hapo!)
Kuna kitu nilidhani hakiwezekani lakini sasa nina zaidi ya miezi saba na najihisi furaha pamoja na kupunguza stresses kwa kiwango kikubwa sana baada ya kuobstain hawa watu.Hii ndio aina ya watanzania wengi hasa wale infiltrates waliojazwa kwenye hivyo vinavyoitwa vijigazeti
Hata mimi siku hizi sifuatilii habari za kwenye tv stations za humu ndani wala kusoma magazeti bali husoma mitandaoni kujua kinachoendelea nchini na sio kufuatilia hizi media zetu.Kuna kitu nilidhani hakiwezekani lakini sasa nina zaidi ya miezi saba na najihisi furaha pamoja na kupunguza stresses kwa kiwango kikubwa sana baada ya kuobstain hawa watu.
Siangalii habari kwenye tv, sisomi/kununua magazeti kwa ajili ya habari, sisikilizi vipindi vya radio labda ikitokea tu. Mwanzoni nilidhani haiwezekani lakini huwezi amini maisha yanasonga.
Ubarikiwe sana. Umejiepusha na sumu nyingi mwilini.Kuna kitu nilidhani hakiwezekani lakini sasa nina zaidi ya miezi saba na najihisi furaha pamoja na kupunguza stresses kwa kiwango kikubwa sana baada ya kuobstain hawa watu.
Siangalii habari kwenye tv, sisomi/kununua magazeti kwa ajili ya habari, sisikilizi vipindi vya radio labda ikitokea tu. Mwanzoni nilidhani haiwezekani lakini huwezi amini maisha yanasonga.
Ndo hayo hayo yanayoandika heading mbaya kwa serikali na mnagongesha glass.Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi,Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA"
Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga.
Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa kichwani mpaka vinakosa angle ya habari?
Waandishi mtategemea ruzuku na bahasha za Serikali mpaka lini?!
Ishu za Haki za Mtu ziheshimiwe,ndio maana hata Mwandishi wenu Azory alivyo potezwa bado mkawa mnaleta mizaha.ni wakati wa kutoka kwenye boksi, hamjachelewa.
Mbowe sio GaidiNiliposikia Freeman Mbowe na wenzake wananyimwa chakula na maji mahakamani nikakumbuka Universal Declararion of Human Rights na mkataba kuhusu utesaji yaani Convention against Torture and Other Cruel, Inhuman, Degrading Treatment or Punishment
Inawahusu hadi mahabusu [emoji1427]
ZINGATIA: Tanzania haijasaini huu mkataba wa kimataifa kuhusu utesaji (swipe) ndo muelewe utawala wa miaka 60 wa chama kimoja ilipotufikisha!
#MboweSioGaidi #TutaelewanaTu #ChangeTanzania
Hilo haliondoi ukweli kuwa wamechemka.Ndo hayo hayo yanayoandika heading mbaya kwa serikali na mnagongesha glass.
Muosha....
Kuna mtu mahali kasema hivi, "nchi hii bila kuja kuchapana kidogo, hatutakuja kuheshimiana kamwe!"Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi,Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA"
Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga.
Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa kichwani mpaka vinakosa angle ya habari?
Waandishi mtategemea ruzuku na bahasha za Serikali mpaka lini?!
Ishu za Haki za Mtu ziheshimiwe,ndio maana hata Mwandishi wenu Azory alivyo potezwa bado mkawa mnaleta mizaha.ni wakati wa kutoka kwenye boksi, hamjachelewa.
Nilitaka kuja na andiko kama lako uzuri umeniwahi Acha nichangie kwako.Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi,Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA"
Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga.
Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa kichwani mpaka vinakosa angle ya habari?
Waandishi mtategemea ruzuku na bahasha za Serikali mpaka lini?!
Ishu za Haki za Mtu ziheshimiwe,ndio maana hata Mwandishi wenu Azory alivyo potezwa bado mkawa mnaleta mizaha.ni wakati wa kutoka kwenye boksi, hamjachelewa.
Kwa kifupi, wahariri wamejaa woga na Mwendazake ndio katufikisha hapa.Nilitaka kuja na andiko kama lako uzuri umeniwahi Acha nichangie kwako.
"MBOWE ALIA NJAA" ni sentensi inayoonesha Mbowe amekosa chakula kutokana na kukosa uwezo kiuchumi wa kukipata. Wafanyakazi wanàpokosa kulipwa mshahara miezi 2 au 3 wanapolalamika tunasema wanalia njaa maana wamekosa uwezo wa kulisha familia zào. Lakini Kwa hili la Mbowe ni tofauti, nimesoma gazeti jingine limeandika "MBOWE ALALAMIKA KUTOPEWA CHAKULA MCHANA KWA MIEZI 5" angalau inaleta maana. Lakini lingine limepotosha zaidi Kwa kuandika "MBOWE AKOSA CHAKULA MIEZI 5" na nimeona hata baadhi ya watu mitandaoni Wenye milengo ya ovyo àmbao hawana kawaida ya kutafuta undani wa habari wameanza kumtukana Mbowe wakimwita mpuuzi na mzushi eti binadamu anawezaje kuishi miezi 5 bila kula? Waandishi na wahariri mna nafasi kubwa ya kuielekeza Jamii au kuipotosha. Kwa hili sehemu kubwa mmepotosha watu na kuwapa nafasi wasiojiweza kifikra kutukana watu bila sababu.
Hicho ndicho kichwa cha habari walichopewa na CCM kuandika.Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi, Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA"
Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga.
Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa kichwani mpaka vinakosa angle ya habari?
Waandishi mtategemea ruzuku na bahasha za Serikali mpaka lini?!
Ishu za Haki za Mtu ziheshimiwe,ndio maana hata Mwandishi wenu Azory alivyo potezwa bado mkawa mnaleta mizaha.ni wakati wa kutoka kwenye boksi, hamjachelewa.
Hata bila kutumia eye test,the fact kwamba ameleta hiyo concern ndiyo jambo la msingi,HAKI YA KUPATA MLO WA MCHANA KWA MAHABUSU WANAOHUDHURIA MAHAKAMANI.Hilo gazeti halikupaswa kutumia maneno hayo.Ninachokiona hapo ni kujipendekeza ili ionekane wao wako upande wa serikali.Kwa kutumia macho [eye test], Mbowe hana muonekano wa mtu ambaye hapati chakula!
Hivyo, kusema analia njaa ni kupotosha kwa makusudi.
Kama hamjuiHilo haliondoi ukweli kuwa wamechemka.
Vipi kuhusu makomandoo? Kwa eye test.Kwa kutumia macho [eye test], Mbowe hana muonekano wa mtu ambaye hapati chakula!
Hivyo, kusema analia njaa ni kupotosha kwa makusudi.