Magazeti ya leo Februari 15, 2022 yanatia kichefuchefu kuhusu Mbowe

Wahariri wenyewe wanayo njaa kuzidi ya mbowe
 
Vichwa vya habari hivyo unataka waandike vipi?

 
sidhani kama hapo jibu litapatikana, ukizingatia ni maagizo kutoka juu. Haitokei kwa bahati mbaya au kwamba wamesahau
 
Hivi inakuwaje tunarushiwa picha za watu wanakata keki, wanagawana maji, wana "enjoy" mihogo, kumbe wanayempigania hata maji ya kunywa hana😅😅
 
Ndiyo kulia njaa huko, wewe ulitaka yaandikaje bwana! Hakuna kichefuchefu hapo, ndiyo ukweli wa mambo! Ukiona yanatia kichefuchefu yanunue yote na kuyaficha ili yasionekane mtaani! Lakini sisi tumeshayasoma tayari.
 
Kwa kutumia macho [eye test], Mbowe hana muonekano wa mtu ambaye hapati chakula!

Hivyo, kusema analia njaa ni kupotosha kwa makusudi.
Kwa hiyo ipi ni ipi?Kwa sababu aliyelalamika kutopewa chakula ni Mbowe. (Eye test) yako inaonyesha hana muonekano wa mtu ambaye hapati chakula Kwa hiyo kuna mtu au watu wanasema uongo.
Kuna picha zinaonyesha Mbowe amebeba chupa ya maji.Kwenye madai yake anadai hawapewi chakula cha mchana na maji.
 
Sasa Mkuu mbona umejijibu kuwa hatuja ratify hii conv, then umetoa lawama badala ya way forward. Anyway inaweza kutumika sura ya 3 ya katiba.
 
Kwa kutumia macho [eye test], Mbowe hana muonekano wa mtu ambaye hapati chakula!

Hivyo, kusema analia njaa ni kupotosha kwa makusudi.
Kabla ya kuchagua hiyo heading wangejiuliza tafsiri ya wasomaji itakuwaje. Connotatively kulia njaa kuna maana pana sana na hii ina negative impact kwa mhusika ni kama kusema anaipata, anakoma ubishi, maisha hayendi vizuri na wabaya wake watasema mwache akome..
 
Siamini kama Gazeti la Raia Mwema linaweza kuwa na heading za ajabu namna hii. unless ni gazeti la kupikwa
 
Si mnasema uhuru wenu wa habari umerudi na mnapumua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…