Magazeti ya leo Februari 15, 2022 yanatia kichefuchefu kuhusu Mbowe

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Bavicha bhana!

Si ndio uhuru wenyewe wa habari huu?
 
Hata mheshimiwa mbowe analia njaa sio kwamba hapati chakula kweli. So argument yako inatokana na msukumo wa mawazo yako mwenyewe ambayo unataka wote tuyaamini.
 
..hii inaweza kuwa KASHFA kubwa kwa jeshi la magereza na mahakama.

..huenda mahabusu watuhumiwa wa kesi mbalimbali wanateseka kwa njaa wakati mashauri yao yakisikilizwa ktk mahakama zetu.

..Na Jaji Mkuu hajali. Waziri wa mambo ya ndani hajali. Mkuu wa magereza hajali. Dpp hajali.
 
Sijaona kosa la mwandishi, ni kweli Mbowe kalia njaa, tatizo liko wapi?
 
Mkuu wangeandikaje labda?
"Magereza yavunja haki za binadamu"
Uwepo wa mitandao ya kijamii una pre-empty sana magazeti. magazeti yanatakiwa kuripoti habari ile ile lakini kwa engo tofauti. kuchambua vitu kwa kina na rejea badala ya juu juu kama ilivyo kwenye social media. Ndio maana mtu makini kama mimi siwezi kununua gazeti kwa sababu hakuna jipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…